Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye pia ni Kiongozi Wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge Wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, akiwahutubia Wakazi zaidi ya Elfu Kumi na Mbili wa Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa Magharibi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, Chuo Kikuu Cha SAUT Malimbe, Mh. Mbowe aliwakumbusha Watanzania Kote Nchini Kuwa, Kitendo cha CCM Kukosa Mbinu za Kumnunua ili aimalize Chadema Kama Walivyofanya Kwa Baadhi ya Watu ndani ya Chama Kinazidi Kuwaumizia Akili na Kuwafanya Wazidi Kukata tamaa Kila Kukicha. Hapa anasema "Ndg. zangu Makamanda, napenda Kuwadhibitishia Kwamba Mbowe hafiki bei na Mbowe
hanunuliki Kwa Bei yoyote, Kitendo cha Mbowe Kutofika Bei Kinawaumizi akili na Kuwafanya Waendelee Kukata tamaa Kila Kukicha, Isipokuwa anayefika Bei yao aende huko Kwetu ni aibu Kuwa naye ndani ya Taasisi hii ya Umma Watanzania, Safari hii Ilianza Zamani Kabla yetu Sote, hivyo Wapo Watakaopanda na Wapo Watakaoshuka Kwa Sababu tofauti tofauti, Kilichopo hivi sasa ni Kuufikia Mwisho Wake"
...alisema pia unaweza ukawa na pesa lakini ukanunuliwa au usiwe na pesa lakini usinunuliwe....vilevile aliongeza kuwa yeye(mbowe) hana pesa lakini HANA NJAA!
vipi mkuu ulikuwepo ktk maadamano kutoka nyamalango hadi hotelini????mimi nilikomea butimba kona aisee si unajua tena uzee unatunyemelea.....
Yule mzee aliyetoa kiwanja chake mkuyuni ili Chadema W(nyamagana) wajenge ofisi unamkumbuka??ni ndungu yangu aisee,nitafunguka siku nyingine
Chadema ni mpango wa MUNGU
 
Mngekatisha hizo ziara,mkaitisha kikao cha KK,na kumfukuza huyo Zitto,sio kuwahadaa wananchi.

utahadaiwa wewe mchovu, mapafu yako yamefika mwisho na huiwezi tena hii spidi. Hakai mtu ndani ni kwenye mahakama ya wananchi mpute mpute na yeyote mwenye harufu ya usaliti ataisoma plate number.
 
Hivi kuna punguani ambae hajui kuwa Mbowe anatumiwa na "system" siku nyingi sana.

Sasa hiyo "system" yenu inamtumia sawa. Jee ni kwa nini inamchukia na kutaka aondoke madarakani ili aingie yule jamaa? Dhana hiyo hata mtoto mdogo ataishtukia ndugu yangu FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
hana mvuto wa kisiasa ndo maana hawawezi kumnunua,he is too local and not threat kwa watawala(huu ni mtazamo wangu-sina chama mimi)

Sijawai kusoma andiko lako,ukaongelea mazuri Chadema,huna chama kweli!?harufu ya Gamba lililooza.
 
Billicanas boy bhana haishiwi na vituko!!Si afadhali hata aongee Dr Slaa hayo maneno kuliko huyu mtu anayesafiria nyota za watu.Siku Dr Slaa akiondoka automatically na yeye Billicanas boy ndiyo atakuwa amepotea hivyo kwenye ulingo wa siasa.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye pia ni Kiongozi Wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge Wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, akiwahutubia Wakazi zaidi ya Elfu Kumi na Mbili wa Jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa Magharibi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nyamalango, Chuo Kikuu Cha SAUT Malimbe, Mh. Mbowe aliwakumbusha Watanzania Kote Nchini Kuwa, Kitendo cha CCM Kukosa Mbinu za Kumnunua ili aimalize Chadema Kama Walivyofanya Kwa Baadhi ya Watu ndani ya Chama Kinazidi Kuwaumizia Akili na Kuwafanya Wazidi Kukata tamaa Kila Kukicha. Hapa anasema "Ndg. zangu Makamanda, napenda Kuwadhibitishia Kwamba Mbowe hafiki bei na Mbowe hanunuliki Kwa Bei yoyote, Kitendo cha Mbowe Kutofika Bei Kinawaumizi akili na Kuwafanya Waendelee Kukata tamaa Kila Kukicha, Isipokuwa anayefika Bei yao aende huko Kwetu ni aibu Kuwa naye ndani ya Taasisi hii ya Umma Watanzania, Safari hii Ilianza Zamani Kabla yetu Sote, hivyo Wapo Watakaopanda na Wapo Watakaoshuka Kwa Sababu tofauti tofauti, Kilichopo hivi sasa ni Kuufikia Mwisho Wake"

- Unajua kuna hoja ambazo ni worthy kuzijadili na zingine ni waste of time, CCM yenye wabunge 280 inaweza kupoteza muda wake kumnunua mwenyekiti wa chama chenye wabunge 46 tu! Ni maneno ambayo unatakiwa kujadili na mtu asiyekwenda shule kabisa infact inaleta mwaswali mazito sana ya aliyeyasema kwamba kweli anaelewa siasa au anabahatisha? please!!

Le Mutuz
 
KJ upo????sorry mr brain washout.....
 
Hakika Mr.Chairman has no price tag.Chadema inaruka viunzi vingi kwani imeamua kujifunza kupitia mlolongo wa makosa ya vyama vilivyokubali kulaghaiwa na kuvurugwa na vikavurugika,Haya ya akina ZZK ndio yaliyochelewesha mabadiliko,na kudhoofisha vyama hatarishi kwa CCM ref.NCCR,TLP etc.Hakika huyo aende kufuga mapanya wake atuachie wananchi chama chetu,tupate vionjo vipya vya tawara tofauti inayoheshimu waajili (wananchi).
 
Sasa hiyo "system" yenu inamtumia sawa. Jee ni kwa nini inamchukia na kutaka aondoke madarakani ili aingie yule jamaa? Dhana hiyo hata mtoto mdogo ataishtukia ndugu yangu FaizaFoxy

Nani aliokudanganya tunataka aondoke? hiyo njia ya mkato kwetu.

Mimi binafsi nataka Zitto afukuzwe kabisa chadema, pitia posts zangu uone. Unajuwa kwanini nataka hivyo? nataka hivyo kwa sababu njia yetu ya mkato ibaki hapo-hapo ilipo. Huyo ni akili ndogo na tunapenda sana abaki hapo.

Fanya homework kidogo, wewe linganisha kura alizopata Kikwete wakati huyo aligombea nae uchaguzi 2005, utanielewa nasema nini.
 
Ha ha ha!! Nimecheka sana FF unavyotaka kucheza na akili yangu.
 
Last edited by a moderator:
- Unajua kuna hoja ambazo ni worthy kuzijadili na zingine ni waste of time, CCM yenye wabunge 280 inaweza kupoteza muda wake kumnunua mwenyekiti wa chama chenye wabunge 46 tu! Ni maneno ambayo unatakiwa kujadili na mtu asiyekwenda shule kabisa infact inaleta mwaswali mazito sana ya aliyeyasema kwamba kweli anaelewa siasa au anabahatisha? please!!

Le Mutuz

Kama kuwa Mbunge ni kwamba una akili kuwazidi wale uliowashinda, unaniambiaje kuhusu Livingstone Lusinde vs Dingi yako aliyemgaragaza vibaya?
 
Back
Top Bottom