mziray mziray
Member
- Jul 30, 2014
- 17
- 0
Msimamizi no Mzee Mtei unategemea mimi
Ni kweli muvi inaendelea nawe unafurahi. Lakini Sterring mwishowe hafi hata kama kajeruhiwa.
Sent from my iPad using JamiiForums
bado jaji mutungi hajaja ns rungu lake
Atatumia fedha zake kununua haki but uwezo wake wa kufikiri umefikia ukomo
mkuu ulisoma barua ya jaji
Una maana ile ya Jaji wa CCM? Yule mwenye maagizo ya kukandamiza upinzani? We don't give a damn!! CDM ni yetu siyo ya CCM au Jaji.mkuu ulisoma barua ya jaji
Anaitwa Cancer!! lakini anapromote afya ya Mbowe kwenye ushindi!!Hakuna mahali kwenye kazi za party registral kuna kipengele cha kuwasimamia watu kwenye chaguzi zao za ndani!Kinachotakiwa ni kumpa taarifa tu kama kuna marekebisho ya sheria na yy lzm atii bila shuruti!
Sasa huyu aliyemuwekea Mbowe pingamizi hilo pingamizi analipeleka wapi?Anawapotezea muda tu CHADEMA huyu hayawani
(Sijafurahia jinsi CHADEMA wanavyo mnadi Mbowe kama ndiye mteule wa nafasi hii,wangetoa nafasi sawa kwa wagombea wote)
hata watu wa ccm ni ving'ang'anizi wa madaraka. wako tayari kuua kuliko kuachia madaraka na kama hamuamini subirini.. uchaguzi huooo waja tuashuhudia kwa macho na masikio yetu.watu ving'ang'anizi wa madaraka
Hakuna mahali kwenye kazi za party registral kuna kipengele cha kuwasimamia watu kwenye chaguzi zao za ndani!Kinachotakiwa ni kumpa taarifa tu kama kuna marekebisho ya sheria na yy lzm atii bila shuruti!
Sasa huyu aliyemuwekea Mbowe pingamizi hilo pingamizi analipeleka wapi?Anawapotezea muda tu CHADEMA huyu hayawani
(Sijafurahia jinsi CHADEMA wanavyo mnadi Mbowe kama ndiye mteule wa nafasi hii,wangetoa nafasi sawa kwa wagombea wote)
NYIE NI ccm na kamwe hamtaiweza CHADEMA, ila kwa kutumia uwizi na mawakala wenu policcm, hamna jipya.Atafia madarakani huyo
hilo pingamizi anamuwekea nani? maana sijasikia mbowe ametangaza kugombea cheo chochote.Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA mh Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa kutokana na madai kuwa, amekiuka katiba ya chama hicho pamoja na maagizo ya msajili wa vyama nchini.
Source: Mtanzania
Atatumia fedha zake kununua haki but uwezo wake wa kufikiri umefikia ukomo
Nani kakwambia sterring hafi?mapicha ya kihindi stering anakufa mwanzo tu tena ktk maua huku akiimba song,