DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
ACT ni hatari kuliko kansa na ukimwi combined
Hizi habari sio za kweli. Ni mwendelezo wa siasa za kitapeli, kilaghai na kipuuzi ambazo kwa muda mrefu sasa zimekuwa zinaenezwa na CCM-ACT na mawakala wake. CHADEMA wanaendelea na kura za maoni kuanzia leo wakijandaa na vyama washirika ndani ya UKAWA kuchukua nchi October, 2015. Mleta uzi km huu ni tapeli, muongo na mnafiki. Tutakufuatilia tujue uko sehemu gani tukushughulikie. Mods wawe wanawapa ban wahuni kama hawa ambao kazi yao ni kueneza uongo na uzushi. Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM

Umenifurahisha hapo ulivyosema utanifuatilia unishughulikie...Nakuamuru uwe makini kibao kisije kukugeukiwa wewe mwenyewe!
sourceNimefikisha tu ujumbe kama nilivyopokea mkuu
Hiyo ACT sio chama cha siasa, ni genge la wahuni, majizi, matapeli, walaghai na wasaliti. ACT=CCM