tenganisha kazi za serikali na kazi za chama cha siasa.na hili ujue hili kwanza jiulize nini maana ya chama chasiasa ?ni nini maana ya serikali?ukipata jawabu utajua tatizo lipo wapi tusiidhalilishe elimu ya tanzania jamani.Swali la muhimu ni nani yupo nyuma ya kutaka kusababisha vurugu?
Hivi Magufuli aliposema tuache siasa tulimuelewaje?
Kwa nini kauli ya Rais iliyokuwa inatengeneza harmony kwa wanasiasa ilipotoshwa kwa makusudi?
Hivi ni kweli kuna mtu anataka tuendelee na siasa za kiuanaharakati au kama vile tuko kwenye kampeni badala ya kujenga nchi?
Ukawa imeshikilia majiji muhimu
..hii ikiwa ni step muhimu kuelekea Ikulu kwa nini wasijikite kwenye maendeleo makubwa katika hayo majiji ili tuone utofauti wao na CCM?
Magufuli aliachana na siasa kwa kukubali uchaguzi wa meya ufanyike Dar na atakayepata apate kwa nini UKAWA hawaliheshimu hili?
Magufuli amesisitiza kuwa tuache siasa tufanye kazi na ifukapo 2020 watanzania watuhukumu kwa haki.
Ukawa ilikuwa inalia na ufisadi na leo hii Magufuli anapambana nao ...kwa nini ukawa wanakuwa ni obstacle?
Kuna hoja nyeti sana za kuibana serikali ya Magufuli mfano Kwenye Afya elimu ajira n.k kwa nini sisikiii uhamasishaji wa maandamano kuhusu haya maswala ya kitaifa??
Ni nani huyu anayejaribu kuwapoteza vijana na kuwaondoa kwenye mstari wa fikra na badala yake anawaimbisha nyimbo mbaya kama kasuku??
Kwa hiyo mkuu lowassa ndio kila sasa ukawa!Aliyezuia maandamano ya Kijinga sio Mbowe ni Lowasa
Kwa hiyo mkuu lowassa ndio kila sasa ukawa!
Unataka kumpenda lowasa wewe mkewe?katika jambo LA maana alilolisema ni huyu lowassa japo simpendi kabisa!!nafikiri lowassa awasaidiage chadema kuwapa ushauri!!wengine wanarukaruka kama swala!!wao wanaamini mandamano kuliko kitu kingine chochote ndo maana wanavunjwa minguu na mikono!!Dai haki mahakamani siyo propaganda za uongo na matusi na maandamano!!
inept leadership.CHADEMA wana acha mambo ya maana wanakimbilia very tiny things!
Kuzuia mkutano wa CCM ungewasaidia nn CHADEMA?
Sasa kuna wakurupukaj zaid ya hawa, wao wanachotzaman ubabe tu kutafuta umaarufusasa hawa BAA YA VICHAA hawana mlezi mshauri au nini kweli huko ukoo Wa kambare
Nyumbu wao walishawastukia kuwa ni wababaishaji tangu wakati ule walipoahidi kulinda kura ndani ya mita mia mbili lakini wakagwaya.walidhani kiberiti kiko robo kumbe kimejaa-wameogopa kulipuka.Ni làzima wafyate mkia, walijaribu Bavicha kupima kina cha Mani juzi, wakajikuta wako viongozi peke yao hakuna aloyewaunga mkono, wameishia kunyea debe. Hakuna namna in lazima watafute njia ya kitokea!!
Ni kweli EL Kasema waache kuwa Chama cha harakati na kuwa Chama cha siasa na Mimi kwa Hilo namuunga Mkono Lowasa Ana onyesha maturerity yake kisiasaNadhani kaogopa kupingana na mmiliki wa chama ndugu fisadi papa lowassa