Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Mipango ipi wanapanga chinichini?

Tusaidie maana huenda unafahamu zaidi na unaweza kulisaidia jeshi la polisi pindi utakapohitajika kufanya hivyo.
 
....acha uchochezi wewe
Acha unafiki, ni kweli hawa Vijina mnaowadanganya wataumia tena wataumia kweli!. Jiulize swali kwamba Ji kweli Bavicha Wataweza kumzuia Mkuu wa Nchi(Rais) na Mkuu wa Majeshi yote Tanzania kupewa Uenyikiti wa CCM ?
Na kama La, unategemea nini?

#MsiojipendaNendeni!
 
Ona hii ya Uturuki kuna wakati hao Polisi na Jeshi hawataweza kudhibiti hisia na chuki za wananchi dhidi yao.

Furious civilians attack soldiers who were involved in the coup attempt after they surrendered on Istanbul's landmark Bosphorous Bridge

Soldiers involved in the coup attempt in Turkey surrender on Istanbul's Bosphorus Bridge with their hands raised on Saturday.

Soldiers cower from angry civilians after the apparently failed coup in Turkey.

.
People stand in front of a tank near the Fatih Sultan Mehmet Bridge during clashes with military forces in Istanbul early on July 16.

Turkish tanks move into position as Turkish people attempt to stop them in Ankara.

A man uses his belt to hit Turkish soldiers involved in the coup attempt.

Tukio la maandamano dhidi ya dola au mamlaka liliwahi kufanyika China mwaka 1989, maelfu kwa maelfu ya wananchi na hasa wanafunzi walijazana kwenye 'uwanja' wa Tiananmen - Tiananmen square' - ...Serikali ikatoa tangazo kuwa ifikapo saa Fulani wanafunzi au waandamanaji wawe wameondoka, waandamanaji wakagoma....serikali ikapeleka vifaru na waandamanaji hao wakasimama mbele ya vifaru...ilipofika usiku amri ikatolewa kuwa vifaru visonge mbele na kweli vikasonga mbele...maelfu kwa maelfu ya vijana wakakanyagwa na vifaru hivyo na kufa kwenye uwanja huo...ajabu ni kuwa watu walipoamka asubuhi hawakuwaona waandamanaji hao wala tone la damu...inaelezwa kuwa kazi kubwa ilifanyika usiku huo kuondoa maiti na damu...tangu wakati huo hakuna maandamano tena China...
 
Hakuna hata ukucha wa bavicha utakaokwenda Dodoma.

CDM hawazuiwi kwenda Dodoma kisichotakiwa ni kufanya fujo uko zinazoweza kusababisha maafa kwa watanzania wenzetu, Dodoma ni yetu wote na si mali ya Chama chochote.
 
Back
Top Bottom