Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Ni ushauri tu lakini usilete chuki pamoja na mipango ya kitoto inayopangwa chini chini.Kuna uwezekano kabisa polisi wakasababisha athari kubwa kwa watu wasio na hatia kuelekea mkutano mkuu wa CCM Dodoma.

Haya mambo unayoyapanga Mbowe kupitia BAVICHA nikushauri tu vijana wetu wataumia sana na wala hakuna faida tutakayopata kama nchi.

Ni ushauri tu.
Ona hii ya Uturuki kuna wakati hao Polisi na Jeshi hawataweza kudhibiti hisia na chuki za wananchi dhidi yao.

Furious civilians attack soldiers who were involved in the coup attempt after they surrendered on Istanbul's landmark Bosphorous Bridge

Soldiers involved in the coup attempt in Turkey surrender on Istanbul's Bosphorus Bridge with their hands raised on Saturday.

Soldiers cower from angry civilians after the apparently failed coup in Turkey.

.
People stand in front of a tank near the Fatih Sultan Mehmet Bridge during clashes with military forces in Istanbul early on July 16.

Turkish tanks move into position as Turkish people attempt to stop them in Ankara.

A man uses his belt to hit Turkish soldiers involved in the coup attempt.
 
Umeingizwa kwenye payroll nin? Leo unajuhudi sana za kupost
 
Kwahiyo unafikiri Tanzanian inaweza kuwa kama uturuki??
 
Back
Top Bottom