Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Mbowe awazuia BAVICHA kwenda Dodoma

Waambie CCM waibane hiyo serikali ya UKAWA waachie wenyewe

Serikali ifanye kazi na wanasiasa wafanye siasa maana ndio kazi yao

Hayo majiji waliyoshinda viranja kila siku wanatoa matamko hao mameya watafanyeje kazi?
Unadhani maoni yako yana tija yoyote kwa mustakabali wa wananchi?

Siwaoni UKAWA wakiadress issues za wananchi zaidi nawaona wakijaribu kujionesha wako sawa baada ya kujiharibia wenyewe!
 
MBOE fuateni utaratibu na sheria za nchi mtakua salama siku zote.
kushindana na DOLA ni jambo ambalo haliwezekani.
Jaribuni kufikiri, toka muanze kulalamika jumuia za kimataifa hasa mabarozi ambao hua mnawategemea wawatetee, wapo kimya.

Hii ni ishala kwamba siasa mnazofanya hazina tija hata kidogo. Ndo maana LOWASSA anawaasa mbadilike, Nyie mnamuona mkuda.
 
Zilikuwa kelele za mlango tu halafu baadae tutegemee kusikia ujiko kwamba,"KAMA NISINGEWAZUIA HAO VIJANA KUNGETOKEA MACHAFUKO DODOMA."

Yaani wahuni tu wazuie mkutano ambao rais ni mjumbe na serikali yote ikiwa hapo!!

Hebu kuweni serious.
 
Ni vema vijana wakabaki majumbani kuliko kwenda Dodoma kupata kisago.
 
Mwenye chama Lowasa aliongea Jana kuwa mambo ya maandamano na migomo waache ni tabia ya uanaharakati.

Kwa hiyo Mbowe Leo ametekeleza amri ya Mwenye chama
02d908771dcb1ee08ad7cdb4921eb3c1.jpg
 
Wameamua nchi iende na itaenda tu hata kama inaelekea shimoni.
 
Ccm wanazidi kuweweseka safari ipo pale pale
Mwenye chama kasema CHADEMA kimeshagrafuate kutoka uanaharakati hadi chama cha siasa. Sasa hapo nani anayeweweseka? By the way aliyehojiwa ni Mbowe. Wewe unashinda humu JF kutoa ushuzi
 
Swali la muhimu ni nani yupo nyuma ya kutaka kusababisha vurugu?

Hivi Magufuli aliposema tuache siasa tulimuelewaje?

Kwa nini kauli ya Rais iliyokuwa inatengeneza harmony kwa wanasiasa ilipotoshwa kwa makusudi?

Hivi ni kweli kuna mtu anataka tuendelee na siasa za kiuanaharakati au kama vile tuko kwenye kampeni badala ya kujenga nchi?

Ukawa imeshikilia majiji muhimu
..hii ikiwa ni step muhimu kuelekea Ikulu kwa nini wasijikite kwenye maendeleo makubwa katika hayo majiji ili tuone utofauti wao na CCM?

Magufuli aliachana na siasa kwa kukubali uchaguzi wa meya ufanyike Dar na atakayepata apate kwa nini UKAWA hawaliheshimu hili?

Magufuli amesisitiza kuwa tuache siasa tufanye kazi na ifukapo 2020 watanzania watuhukumu kwa haki.

Ukawa ilikuwa inalia na ufisadi na leo hii Magufuli anapambana nao ...kwa nini ukawa wanakuwa ni obstacle?

Kuna hoja nyeti sana za kuibana serikali ya Magufuli mfano Kwenye Afya elimu ajira n.k kwa nini sisikiii uhamasishaji wa maandamano kuhusu haya maswala ya kitaifa??

Ni nani huyu anayejaribu kuwapoteza vijana na kuwaondoa kwenye mstari wa fikra na badala yake anawaimbisha nyimbo mbaya kama kasuku??
Moja wa ushauri muhimu sana ktk uzi huu kuliko Comment yoyote.
 
Bwaana ustaarabu ndio muhimu kuliko ujinga mimi napenda siasa za ustaarabu zaidi
 
Swali la muhimu ni nani yupo nyuma ya kutaka kusababisha vurugu?

Hivi Magufuli aliposema tuache siasa tulimuelewaje?

Kwa nini kauli ya Rais iliyokuwa inatengeneza harmony kwa wanasiasa ilipotoshwa kwa makusudi?

Hivi ni kweli kuna mtu anataka tuendelee na siasa za kiuanaharakati au kama vile tuko kwenye kampeni badala ya kujenga nchi?

Ukawa imeshikilia majiji muhimu
..hii ikiwa ni step muhimu kuelekea Ikulu kwa nini wasijikite kwenye maendeleo makubwa katika hayo majiji ili tuone utofauti wao na CCM?

Magufuli aliachana na siasa kwa kukubali uchaguzi wa meya ufanyike Dar na atakayepata apate kwa nini UKAWA hawaliheshimu hili?

Magufuli amesisitiza kuwa tuache siasa tufanye kazi na ifukapo 2020 watanzania watuhukumu kwa haki.

Ukawa ilikuwa inalia na ufisadi na leo hii Magufuli anapambana nao ...kwa nini ukawa wanakuwa ni obstacle?

Kuna hoja nyeti sana za kuibana serikali ya Magufuli mfano Kwenye Afya elimu ajira n.k kwa nini sisikiii uhamasishaji wa maandamano kuhusu haya maswala ya kitaifa??

Ni nani huyu anayejaribu kuwapoteza vijana na kuwaondoa kwenye mstari wa fikra na badala yake anawaimbisha nyimbo mbaya kama kasuku??
Bonge la comment. Yaani hii comment nadhani itakuwa ni ya karne. Umeshirikisha vizuri ubongo wako
 
Nadhani kaogopa kupingana na mmiliki wa chama ndugu fisadi papa lowassa
Yani upo kama sungura unajaribu kumshambulia chui ambaye huwezi hata kumuadhibu.wezako wako kimya sababu wanajua shetani hawezi kumtoa shetani mwezake.
 
Back
Top Bottom