Swali la muhimu ni nani yupo nyuma ya kutaka kusababisha vurugu?
Hivi Magufuli aliposema tuache siasa tulimuelewaje?
Kwa nini kauli ya Rais iliyokuwa inatengeneza harmony kwa wanasiasa ilipotoshwa kwa makusudi?
Hivi ni kweli kuna mtu anataka tuendelee na siasa za kiuanaharakati au kama vile tuko kwenye kampeni badala ya kujenga nchi?
Ukawa imeshikilia majiji muhimu
..hii ikiwa ni step muhimu kuelekea Ikulu kwa nini wasijikite kwenye maendeleo makubwa katika hayo majiji ili tuone utofauti wao na CCM?
Magufuli aliachana na siasa kwa kukubali uchaguzi wa meya ufanyike Dar na atakayepata apate kwa nini UKAWA hawaliheshimu hili?
Magufuli amesisitiza kuwa tuache siasa tufanye kazi na ifukapo 2020 watanzania watuhukumu kwa haki.
Ukawa ilikuwa inalia na ufisadi na leo hii Magufuli anapambana nao ...kwa nini ukawa wanakuwa ni obstacle?
Kuna hoja nyeti sana za kuibana serikali ya Magufuli mfano Kwenye Afya elimu ajira n.k kwa nini sisikiii uhamasishaji wa maandamano kuhusu haya maswala ya kitaifa??
Ni nani huyu anayejaribu kuwapoteza vijana na kuwaondoa kwenye mstari wa fikra na badala yake anawaimbisha nyimbo mbaya kama kasuku??
Kapima kina cha maji akaona ni kirefuZilikuwa kelele za mlango tu halafu baadae tutegemee kusikia ujiko kwamba,"KAMA NISINGEWAZUIA HAO VIJANA KUNGETOKEA MACHAFUKO DODOMA."
Yaani wahuni tu wazuie mkutano ambao rais ni mjumbe na serikali yote ikiwa hapo!!
Hebu kuweni serious.
Hizo hela mlizochanga kuendea dodoma changieni madawati.Chairman tuache tuende dodoma
Unawapa kiburi mafisiem
kwa kweli ubavu huo hawana.Ile ilikua danganya toto, sidhan km kulikua na mipango ya kwenda kufanya fujo dodoma.
kama kasema kweli basi nyumbu wote chaliiiiiiiiiiii Simba kaunguruma
Halimashauri zinazoongozwa na ukawa hakuna kabisa shida ya madawatHizo hela mlizochanga kuendea dodoma changieni madawati.
Mkumbuke watoto wa wapiga kura kwenye majimbo yenu wanakaa chini.@ chadema
Acha utani kwenye mambo serious.Halimashauri zinazoongozwa na ukawa hakuna kabisa shida ya madawat
Kwasasa wanahangaikia laptop kila mwanafunzi
Mfano kule mbeya mh. mbilinyi anagawa laptop kila kukicha
Jimbo gani dar chini ya ukawa watoto wanakaa chiniAcha utani kwenye mambo serious.
Kama hapa dar majimbo ya ukawa watoto wanakaa chini ,sembuse huko vijijini??
Hehehe sasa kama wametaka wenyewe kufa unategemea niniNakubaliana na Mbowe, Polisi sio watu wa huruma, watawaua vijana. Kuna njia zingine za kudai haki hiyo, hazijashindikana. Try those first!
KinondoniNilisema zilikuwa porojo tu
Wangethubutu wakaona hahaha
UnaotaKinondoni
Mbowe hausiki na BAVICHA poleni kwa uongo wa bila kuvaa nguoAmesema kuwa CCM iachwe ifanye mkutano wake, na wao watatumia mikondo yote ya sheria iliyo nchini na nje ya nchi kupigania haki za vyama vya siasa.
Pia amezungumzia suala la vijana waliokamatwa na polisi kuwa wana haki ya kupewa dhamana kwani sheria ipo wazi juu ya hilo, huku akisisitiza kuwa hawaogopi kulala ndani.
AZAM TWO TV
Mwenye chama kaongea unadhani vibarua watafanya nini wajaribu waoneAmesema kuwa CCM iachwe ifanye mkutano wake, na wao watatumia mikondo yote ya sheria iliyo nchini na nje ya nchi kupigania haki za vyama vya siasa.
Pia amezungumzia suala la vijana waliokamatwa na polisi kuwa wana haki ya kupewa dhamana kwani sheria ipo wazi juu ya hilo, huku akisisitiza kuwa hawaogopi kulala ndani.
AZAM TWO TV
Wewe ni mtu mjinga!Nadhani kaogopa kupingana na mmiliki wa chama ndugu fisadi papa lowassa