Nadhani ni ishara ya wazi ya tatizo la uongozi wa Naibu Spika Huyo kwa kushindwa kusimamia na kujibu hoja chokochoko za Upinzani ambazo zipo katika mabunge yote Duniani yenye vyama vingi!
Sidhani kama Mh huyu anajua kuwa ni kipimo kibaya kinachomshusha hadhi yake?
Hiki ni kishooiya....Hakiwezi kupata tena kura kule vunjo.
Mbowe anastahili kuchukuliwa hatua za nidhamu kwa utovu wa nidhamu aliouonesha
wabunge wa chadema ni wachache ingetokea mauaji.
Nalikumbuka bunge la kina Dr. Slaa na Hamadi Rashid chini ya Spika Samwel Sitta.
Bunge la Tanzania limegeuka Kichen Party.
Nalikumbuka bunge la kina Dr. Slaa na Hamadi Rashid chini ya Spika Samwel Sitta.
ndiyo mazao ya mipasho ya ndugai hayo. Badala ya kuendesha bunge ktk misingi inayofaa, analeta mipasho. Naunga mkono mbowe kutokubali kutoka.