Mbowe atolewa nje ya bunge

Huyu spika anaendesha bunge kibabe hajui sheria huyu hongera mh mboe kumdindia polisi njaaa hao na huyo gamba
 
Nafiri Watz wameshaelewa kuwa tuna watunga sheria (Wabunge) wa aina gani. Ni juu yetu sasa kuchukua hatua. Kati ya haya mojawapo linawezekana. Either

i. Kuipinga kwa kura Katiba ya CCM na Serikali yake, AU
ii. Waendelee na mambo yao ya kutengeneza sheria za kuhujumu katiba ya wananchi na Baadae Tuje tuanze mchakato upya wa kudai katiba ya wananchi wa Tanzania chini ya serikali itakayo kubali kutengeneza katiba huru

Tusikubali huu upuuuzi wa wabunge wa CCM na watawala wao
 
hawa ndio wenye magovii ya akili wanahitaji kutahiriwa ili kuweza kupambanua ukweli na upoyoyo wao
 
Nasubiri tamko la shura ya maimamu na bakwata je watainyima kula ccm kama chadema kule igunga
 
Hii habari ni uzushi haina ukweli wowote mimi nilitizama bunge karibia lote nilichokiona ni huo ujinga wa mbowe na mwanae Sugu ila hili hapana hebu leta ushahidi wa kueleweka.
 
Kwa kweli ccm ni janga la taifa kuliko hata rwanda,ilikuwaje wakamchagua Ndugai kuwa naibu spika wakati walijua kuwa ni mtu wa jazba,ccm pale kuna vichwa km filikunjombe ilikuwaje wakampa huyu? anyway inawezekana ndo sera ya ccm ya kuchagua watu wenye jazba,hivo ili kuondoa hili we should vote out ccm.
 


Umeangalia bunge au umecomment kwa kusoma jukwaani? Angejengea hoja wapi na kakataliwa kuzungumza?
 
si kila anayeangalia humu anafurahia ujinga wa mbowe
Tatizo la Ndugai ndg Lusewa anachafua rekodi ya Uongozi wa Rais wetu J. Kikwete

Angalia signature yako mkuu. "Katika Jambo ambalo Utawala wa Dr KIKWETE utakumbukwa ni Uhuru wa Kutoa Mawazo japo wengi Wanautumia Vibaya"
 
Last edited by a moderator:
Uzushi mtupu hakuna kitu kama hiki.
 
Ni kweli Mhe.Moza Abeid , Mbunge wa Viti maalum CUF kutoka Kondoa, amevuliwa Hijab yake kwa nguvu na Askari kana kwamba sio sehemu ya vazi rasmi la Bunge , Mbunge huyu amedhalilishwa sana na dini ya Mwenyezi Mungu imedhalilishwa na Bunge kwa maelekezo ya Ndugai na Askari wake ambao hawajali vazi rasmi la mwanamke wa Kiislamu, au isemwe kama hairuhusiwi kwa wanawake wa Kiislamu Kujisetiri ili ijulikane .
 
Nini hijabu bhana, watu wanavuliwa hadi tule tudogo twa kaptura.
 
Mimi nadhani ni wakati wa CHADEMA sasa kwenda kwa wananchi kuwaeleza uhuni unaofanywa na CCM. Wawaache CCM wachezee hela kuandika madudu wanayoyataka, CHADEMA, CUF na NCCR waendelee kuwahamasisha umma wa watanzania kuikataa hiyo katiba ya CCM, ikifika wakati wa kupiga kura tutaikataa. Tutakapopata viongozi na wabunge wenye akili na uzalendo ndipo tutaandika katiba mpya kwa kuwashirikisha watanzania wote. Kwa sasa wapinzani waelekeze nguvu zao katika kuyachukua majimbo yote ya hao mafisadi, wakianzia na uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani.
 
hawa ndio wenye magovii ya akili wanahitaji kutahiriwa ili kuweza kupambanua ukweli na upoyoyo wao
Kwa wewe na mbowe unatofauti gani kama unaongea ubwabwa kama huu utakuwa na kipya,

mkiambiwa rudieni fani zenu za muziki mnakataa na kukomaa kwenye mambo yanayohitaji akilina nyie akili hamnazo.
 
kama ni ndugai basi hatutasikia tamko lolote kutoka ccm tawi la bakwata
 
Hivi huyu Ndugai anatumia nini kufikiri?sidhani kama anaweza kuwa yuko sawa kichwani mwake
:bored:
 
Ndugai hana akili kabisa. nini maana ya Demokrasia? Mbunge anaomba mwongozo unamwambia kaa chini kwa lipi? Mpe nafasi aongee ukatae hoja na sio kumwambia akae chini au atoke nje. Vipi angesimama AG au Lukuvi naye angemwambia akae chini? Uonevu mkubwa sana na UCCM uliopitiliza.Tutaona mwisho wake Poor Ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…