alikuwa yupo seriousLema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
hata kupiga kura haukupigaUpuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
Upuuzi mtupu.

Kwa mijitu mioga, mijinga, mipumbavu na minafiki kama wewe mnaweze kuona hivyo! Kwa waelewa wa mambo na wapenda haki, Lema ni shujaa wa karne hii, amewaonesha polisi ujinga wao.Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
Sasa mimi ndo nimeshaweza ivyo.Na wewe unajiona mkwongwe hapa JF?
Wakongwe wa toka enzi za Jamboforums hawawezi kuquote joining date ya mtu.
1. Kwani maandamano yanamzuia nani kufanya shughuli za kiuchumi. Unataka kusema umaskini wa nchi hiiUpuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
hayo ya ukweli mkuuJk na wafuasi wako ujue kuwatenda wapinzani sio kigezo kwamba madarakani hamtaondolewa kuondolewa itabaki palepale na zaidi mnazidi kuwapa umaarufu
Upuuzi mtupu.
CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.
Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.