Mbowe atikisa gereza la Lema

Mbowe atikisa gereza la Lema

Lema ni kiongozi shujaa mwenye ujasiri wa ukombozi wa mtanzania,tunamsubiri kesho kwa hamu,CCM inaangamiza maisha ya watu kila siku dola ipo juu,vyakula vimepanda,ajira hakuna now days na kama ikitokea wanapeana wao na watoto wao licha ya kuwa vilaza this is not fair at all,if this is not my I country could leave,but I have to fight till the end,and the freedom is coming.
 
Lema awe makini sana sana ndani miaka hii 3 maana ameshakuwa target kama Mwakyembe kama wamemkosa huko selo na kale ka sumu basi akae macho!!!!
 
freedom is comming tommorow. Lema pambana kwani mikoa ya jirani inatarajia kukuunga mkono hiyo kesho. Pipooooooooooooooooooooooooz! Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer.
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.

I didn't know that U're such stuupd! Wewe tuache na mbunge wetu. Na ukitaka kujua ni kiwango gani tunamkubali, angalia mkutano wa kesho!
 
chama makini, demokrasia makini,wanachama makini, viongozi wenye upeo makini, chadema makini,tegemeo watoto,vijana na wazee makini =CHADEMA.
 
Lema awe makini sana sana ndani miaka hii 3 maana ameshakuwa target kama Mwakyembe kama wamemkosa huko selo na kale ka sumu basi akae macho!!!!

Nilipo sikia Lema kajipeleka selo mwenye nilipata hofu sana, maana kwa polisi wetu huo ni mwanya mzuri sana kwa kumwakyembe fasta...

Pia jeshi la polisi lina mkakati mbaya sana dhidi ya chadema, kuna mpango wa kutoa onyo kuhusu tishio la allshabab na kama chadema watapuuza wao watalipua mabom yao na kusingizia hao wahuni wa Somalia.
 
Kichwa cha habari kina tatizo kidogo. Unaposema gereza la Lema unamaanisha nini?
 
Hii taarifa mfikishieni William Malecela,jana alileta hapa umbea aliopewa na Nape kuhusu Lema.
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
Mtwara ambako hawaandani mara kwa mara wameendelea nini kuizidi Arusha.
 
chama makini, demokrasia makini,wanachama makini, viongozi wenye upeo makini, chadema makini,tegemeo watoto,vijana na wazee makini =CHADEMA.

Chaga Development Manifesto
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.

Hatuitaki kura yako mpumbavu mkubwa usieelewa nini maana ya kuisimamia haki na utu wako
 
Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.
Ukitaka kujua uwezo wa mtu kiakili mwache aongee. nadhani maneno yako yanaashiria uwezo wako wa kufikiri. Naomba waJF wakusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo na wasikuhukumu.
 
Upuuzi mtupu.

CDM mnavuruga maisha na shughuli za kiuchumi za Wana-Arusha. Vurugu zenu na maandamano ya kijinga havina tija kwetu.

Tumetambua tulifanya kosa kubwa kuwapa dhamana ya kutuongoza. Hatutarudia kosa 2015.
Hamtarudia, wewe na mke wako tu???
 
Kichwa cha habari kina tatizo kidogo. Unaposema gereza la Lema unamaanisha nini?
siyo mimi mkuu, mbona nimesema hapo chini soorce mwananchi, ila wanamanisha gelaza alipo KAMANDA LEMA
 
Lema kaumbuka na siasa zake uchwara.
Alikuwa anatishishia nyau. Chamtemakuni kakiona.

we si mzima nahisi ni mjamzito na ndivyo tarajia kujifungua ugali uliotiwa ndimu
tanzania tunakazi hili nalo linaitaji kukumbolewa kichwa/ubongo ndio tutakua tumelisaidia.
Jamani hili filauni la wapi?limetoke wapi?,maana naona limepaaka mafuta kabisa kwenye masaburi linatafuta mtu wa kulipima oil.mbwege,*****,*****,....mpaka basi
 
Back
Top Bottom