Mbowe atikisa gereza la Lema

Mbowe atikisa gereza la Lema

sikuamini kama kweli hawa viongozi wajuu kabisa wa chadema hawakwenda kumjulia hali kiongozi mwenzao tena wa rank yao. This is fan. Or there is something behind, na hivi hivi tu.
\
Hapo kwenye nyekundu utaleta upepo labda ulitaka kuandika FUN!!
 
Mambo yanayoendelea gerezani ni aibu kuelezea ukitoka nje. Sidhani kama atakuwa tayari kuyaeleza hata kwa mke wake achilia mbali ndani ya bunge.
hivi kwa nini mnaupromote ushoga hivi? yale maadili yetu ya kiTZ tumeyaacha wapi? Hebu tuwe wastaarabu wakati wakuchangia humu.
 
Kwa hiyo CDM kama huna umuhimu una thamani?

mtu kama huyu ni sawa na deadbody! hana faida yyte ya kuish, mwisho wake ni kufa na kaa la moto matakoni, endelea kuchezea kodi yetu kwa kuleta mabishano ya kipumbavu wakat watu wanaongelea maisha ya watu, hakuna kitu kinakwenda bure dunia hii, utalipia tu! na hao bwn zako wa cjui usalama wa ccm wanajua wao, usalama ulikuwa wkt wa mwalimu tu, sasa hv hakun usalama ni wachumia tumbo tu!
 
Aliacha kumtembelea Zitto akiwa Muhimbili anaona ni bora kumtembelea Lema akiwa gerezani?

kwani kumwona mgonjwa hadi waandishi wa habari. La hasha! Hii tabia si ya kiungwana, sawa na kumsuta na kumdhalilisha binadamu mwenzako.
 
Akiandamaana tu rudisha rumande

Kwa mujibu wa sheria,kwa kuwa chuki ipo hakimu ana uwezo wa kutumia hisia zaidi kuliko ufanisi sheria inasemaje,hasa ukizingatia analipwa na sirkali ya magamba
 
Siku hizi mmekuwa wengi hapa jamvini, tatizo ni kukosa ajira na mnakubali kufanya kazi yoyote hata kukubali kuwa wanazi
What do you expect from such a small creature? Hawezi kuelezea chochote alichofanyiwa gerezani sana sana akifanya hivyo atakuwa anajidhalilisha tu.
Mambo yanayoendelea gerezani ni aibu kuelezea ukitoka nje. Sidhani kama atakuwa tayari kuyaeleza hata kwa mke wake achilia mbali ndani ya bunge.
Vipi mkuu ulishatendwa nini? Kama yalikutokea ukakubali ucdhani ni kwa kila mtu!
 
Full maandamano yasiyo na kibali kumpokea shujaa wetu, kifupi A-town haitatosha aisee. Itakuwa nguvu ya umma vs dola
 
iVI KUWATEMBELEA WAGONJWA NA KUWAONA WAFUNGWA NAYO INAITAJI PROMO?
 
ngoja atoke tuandamane watusweke jela nasi tukashuhudia ya huko kwani kwa ajili ya bunadamu si pa kutisha.
 
Usiwe na wasiwasi cameron anawapigania mtamburiwe kisheri. Asifuye mvua imemmnyea. Vp nawe jela walikukamerun nn.

kweli we mjinga. Kwanini uwazie hilo. Mimi nasemea kunyea ndoo.
 
ngoja atoke tuandamane watusweke jela nasi tukashuhudia ya huko kwani kwa ajili ya bunadamu si pa kutisha.

hata sisi andamana mwenyewe. Au jipeleke kama yeye alivyofanya.
 
hata sisi andamana mwenyewe. Au jipeleke kama yeye alivyofanya.

Ndio nyie mkitishiwa kidogo tu kuhusu jela mnaanza kujinyeanyea,alafu eti na wewe unajiita mwanaume wewe na mkeo hamna tofauti.
 
up****** hii ni nafasi ya kupost fikra zako.ukipost hovyo unaonekana ulivyo hovyo kimawazo.
 
Back
Top Bottom