Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa
Wanatekeleza amri ya mahakama,hakimu naye huwezi kumlaumu kwani alikwa hana jinsi ila kuissue a warrant of arrest.Polisi itifaki izingatiwe jamani
yani umenichekesha mpaka nimeapaliwaat least unaweza pitisha ushuzi kwa amani...
Mkuu hayo ni maelezo yake na huyo jamaa ni diwani wa CDM nadhani ni uchungu umepitiliza....
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,
kwa kweli huyu jamaa amevuna alichokipanda
hii ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria, na nnakuhakikishieni tutalisimamia kwa mujibu wa sheria,
na kama kweli anaona anaonewa atalieleza huko mahakamani
wakuu,ni hivi nina uchungu mkubwa,huu ni uhuni na wendawazimu mkubwa,kamwe hatuwezi kuvumilia enough is enough...saa ya ukombozi ni saa...tunalaani kukamatwa kwa Naibu katibu mkuu Zito Kabwe...