Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Nilimwambia Mbowe akutaka kunisikia faata sheria za nchi, yeye anadanganywa na yule jamaa wa Singida Tundu Lissu, eti wewe ni Kiongozi wa upinzani Bungeni uwezi kukamwatwa, sasa kakamatwa sijui mtaandamana,
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa
Nipo Kinondoni na wenzangu tunapanga kuelekea Polisi kumuona Mwenyekiti wetu,tupo vijana wengi.Huu ndio wakati wa kupata uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha kwamba Mahakama zetu haziko huru,ni wakati wa kuonyesha udhaifu katika system yetu ya Justice,ni wakati wa kuonyesha tunahitaji uhuru wa kweli,ni wakati wa kuonyesha nguvu ya vijana katika kupinga matumizi ya mahakama ili kuwinda maadui wa kisiasa
Ben,
Tusiende kama vipofu wa sheria, jana niliweka maoni yangu humu na nikahoji kilevilevi kuhusu umakini wa Mhe. Lissu (post # 75) katika jambo hili. Niliona upotoshaji mkubwa katika namna ya kushughulikia shauri hili, bahati mbaya leo yametokea mabaya. Nauliza tena, was it an oversight on the part of Hon. Lissu?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-la-kesi-ya-arusha;-mbowe-naye-alonga-4.html
Nachelea kusema kwamba kuna upotoshaji unafanyika na sijui ni kwa hasara ya nani.
Mhe. Mbowe ana Makosa ya wazi kabisa ya kudharau Mahakama, si jambo zuri kwa kiongozi Mkuu wa aina yake.
Mhe. Lissu ni Mwanasheria makini, hivi ana amini hilo tamko linatosha kuzuia utekelezaji wa Amri ya Mahakama?
Tusipumbazane hapa, kama sijasahau Sheria, Tamko hilo lingekuwa na Makali kama lingefuatana na Amri ya Mahakama ya juu kusitisha/kuzuia kwa muda utekelezaji wa Amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha.
I stand to be corrected!
Last edited by sikubaliki; Today at 07:21 PM.
Mkuu hayo ni maelezo yake na huyo jamaa ni diwani wa CDM nadhani ni uchungu umepitiliza, kimsingi hawa jamaa wakitoka jela bungeni kutachimbika. Kamanda Lema alipohojiwa na radio 5 Arusha aiseee ameponda mpaka nikahisi labda Lema anataka kuwa mhaini siku zijazo! Maana ameponda kuwa hamuugopi JK na serikali kuendesha nchi kwa kutumia mtindo huu wa jeshi la polisi ni dalili ya kuona hali inakwenda mrama.Hii ni Barua??, Au maelezo yako??
Mmekaa kikao saa ngapi? Pia fuata ushauri wa Filipo!
Uko sahihi kwa mtazamo wako ambao lazima una taarifa zaidi ya sisi tulizo nazo. Ok kakamatwa what next and what is the impact to the general public? Kumbuka matukio mangapi yameyokea ambayo yanaishia kuongeza chuki dhidi ya utawala badala ya kujenga umoja wa nchi. I am only scared of the repurcusions.
Mkuu hayo ni maelezo yake na huyo jamaa ni diwani wa CDM nadhani ni uchungu umepitiliza, kimsingi hawa jamaa wakitoka jela bungeni kutachimbika. Kamanda Lema alipohojiwa na radio 5 Arusha aiseee ameponda mpaka nikahisi labda Lema anataka kuwa mhaini siku zijazo! Maana ameponda kuwa hamuugopi JK na serikali kuendesha nchi kwa kutumia mtindo huu wa jeshi la polisi ni dalili ya kuona hali inakwenda mrama.