Mbowe ashikiliwa Central Police

Mbowe ashikiliwa Central Police

Huu ndio wakati wa ukombozi.....CCm asanteni kwa kutusaidia kwani hamjui saa wala wakati....
 
Kwanza hongera kwa kubadirisha Avatar. Pili hatujadili Mambo ya Mungu. Hoja mezani ni kumtia moyo Mbowe. Badiri basi na fikra

Hayo maneno mwambie huyo jamaa yako MANGI ndio kaleta mambo ya mungu anasema mungu akufanya makosa kumleta Mbowe, na mimi ndio nimemjibu binadamu wote dunia wameletwa na mungu
 
Mbowe ni sawa na Musa. Mungu amesikia kilio cha watz amemtuma mbowe aje atukomboe kutoka ktk utumwa wa wakoloni weusi. tuwe imara kesho tusikubali tena kurudi utumwani. mbowe na wanaCDM wote Mungu awe nanyi daima. Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Mbowe ni sawa na Musa. Mungu amesikia kilio cha watz amemtuma mbowe aje atukomboe kutoka ktk utumwa wa wakoloni weusi. tuwe imara kesho tusikubali tena kurudi utumwani. mbowe na wanaCDM wote Mungu awe nanyi
daima. Hakuna kulala mpaka kieleweke.



Wakati wowote Mungu anapotaka kumtumia mtu kuleta ukombozi Mara nyingi hurusu mateso Lilian kumfanya huyo mtu kuwa imara
 
Hahahahaha CDM mnachekesha saaaanaaa! It is too late Mbowe anatumia debe tangu jana!
 
Nimepitia posts nyingi humu jamvini,sijaona ni wapi wana HAI wakihoji juu ya mkasa wa mbunge wao. Na pamoja na kuwa na nasaba naye hawataji ni nini mchango wao kesho asubuhi. Nawasilisha.
 
Kwani Hai kama ilivyo Kawe kuna mbunge? Tunamsubiri 2015 tuone atatuletea shemeji kutoka segerea au maji halafu tunampiga BAN.
 
Ni kweli Watanzania tumekuwa naive for so long na sasa tunaona jinsi gani kikwete anavyotumia serikali na resources zake ku-destroy our democracy one more time. Kwa vitendo vya kikwete mpaka leo hii tunajua kama hatutachukua hatua leo au kesho, unyama huu hautakwisha. Hili neno demokrasia limetokana na nini? Kwanini nchi kama ya Tanzania na hasa kikwete kwanini ni vigumu kuheshimu watanzania na aspirations zao? Ni vigumu sana kumwelewa kikwete na ccm, sijui wanafikiri sisi wananchi na viongozi wetu wa Chadema sio watanzania na hatuhitaji heshima na rights zozote zile. Majibu ya haya maswali tusipoteze muda kuyafikiria kwani hakuna anayefahamu dreams na hasa mawazo ya kikwete wala mkapa. Kwa kifupi ni kwamba demokrasia ya ukweli peke yake ndio italeta uwakilishi wa ukweli kutoka kwa wananchi na kuheshimika. Leo hii hatuna demokrasia wala katiba wala serikali wala bunge la ukweli.

Vitendo vya kikwete na serikali yake vinaonekana wazi kwamba wanataka kututisha na kuhakikisha wanapitisha bajeti za uongo bungeni na hasa kumtumia kada wao makinda kuongoza bunge la uongo. Tunajua wazi mipango ya kuitisha bunge na kuwadanganya wananchi ni mipango ya ccm tangu awali, kwanini tukubali tena 2011? Hawataki kuulizwa maswali na wanafikiri sisi ni watoto wao kama Ridhiwan, Nape na January. Poleni sana ccm, mwisho ndio huu. Umhimu wa bunge na heshima hili bunge ni disgrace only left, why Mbowe na Zitto wanakaa jela wakati Taifa linaibiwa fedha na makinda akisimamia? Tumesikia lini makinda anataka kufuatilia au kusukuma investigations zozote kuhusu uhaini dowans? Wazi we really don't need makinda or kikwete kutupa majibu, tuongoze haya mapambano sisi wenyewe. This is why I don't pay attention na hizi bajeti za kikwete ni kama bajeti za kikwete, mkapa na wake zao, kwa sababu bunge linachofanya ni kuhakikisha kikwete anapata fedha zake za kusafiria na kukaa mahoteli ya kifahali na kununua magari mapya.

Sasa mipango ya leo ni tunawaomba viongozi wa BAVICHA Dodoma kushirikiana na vijana wanafunzi na wananchi Dodoma kuhakikisha tunazuia bunge lisifanyike na kama ikiwezekana tuingie bungeni na kuchukua viti vyote vya bunge. Walioko mikoani Dar, Arusha, Moro, Mbeya, Mara, Mwanza tuhakikishe Mbowe kiongozi wetu na wanasiasa wengine wanatolewa mara moja. Kama tulivyofanya mikutano na maandamano yetu ya amani mikoani tunafanya tena kumfundisha kikwete kwamba yeye hayuka juu sheria na wananchi wote ni sawa. Dunia nzima na vyombo vya habari kama Al jazira, CNN, BBC watakuwepo kupeleka ushahidi dunia nzima na zaidi these are evidences to UN human rights.


Explosions at military base kill 20 in Tanzania - CNN

BBC News - Tanzania police kill two in Arusha at Chadema protest

BAE sets up panel to allocate £29.5m Tanzania cash fund - Telegraph
 
Mkuu umeongea vizuri sana ila mwishoni ndio umeniacha hoi,nimecheka sana muingie bungeni na kuchukua viti au sio???na wakae chini??haha huo ndio mpango mzima mkuu hamna kuwaachia au kuwapa chance hawa madisadi papa shenzi kabisa,watu wamekula mabilioni ya pesa na hawawashiki kabisa,wanakuja kuwashika watu wanaopigania haki za binadamu na wafahamu kila kitu kina mwanzo na mwisho....
 
kikwete jana alikuwa kanisani

Kanisa linatakiwa kuwakaribisha wote wenye maovu mkuu na sishangai kikwete amekwenda kanisani ... sijui alikuwa anatafuta nini politically kwasababu najua wazi anataka kujikosha na kutaka wakristo wamwone yeye ni binadamu muuongo na mnafiki kupindukia. Is this the same guy who put Mbowe na wanasiasa wingine jela? Kweli kikwete ni propaganda tool...tuonananae jela na nafikiri wata-share room na mwinyi sidhani mkapa atapenda kuwa roommate wake. Leo tumeanza na wiki hii tutamaliza fujo za kikwete, I would like to forget this name for good..
 
Nadhani unaota anyway sometimes its good to dream mimi nataka kiti kikubwa kuliko vyote pale bungeni lol. Lakini hivi mheshimiwa ange attend kwenye kesi kama sheria zinavyotaka tungekuwa tunalalamika na kumsimanga JK? Ina maana 2015 "tukichuku" JK akishitakiwa halafu asitie timu kwa pilato hatutamkamata? Basi tutakuwa na utawala wa ajabu sana na tutakuwa na haki kuomba kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia.
 
Hongereni sana Jeshi la Polisi kwa kusimamia sheria na kuhakikisha kuwa utawala wa sheria unafuatwa kwa kumkamata Mbowe kama amri ya mahakama ilivyotaka. Kuna watu humu walisema hawezi kukamatwa, sasa amekamatwa na yuko chini ya dola na hakuna yeyote aliyetoka kumsaidia.Ni fundisho kuwa next time atii amri za mahakama !:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Hawa ccm wamezoea kutuonea,ee Mungu baba tusaidie kwa kuwa na sisi wakati wote wa mapambano tunajua tutakufa na wao polisi watakufa vilevile.
 
Redemption redemption redemption........
Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:majani7::majani7::majani7:
 
Back
Top Bottom