Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 66
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.ameidharu mahakama acheni ifanye kazi yake....msiingilie kabisa utajikuta mwenyewe mahakamani...
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.

Sio kumtoa MBoe tu,Hata kuitoa ccm madarakani,kwani waliweza vipi TUNISIA,Egypt, tusiweze sie ? Hebu tumieni akili.Kila kitu duniani huwa kina mwisho wake na hata uonevu huwa una mwisho kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe kukamatwa nadhani sasa serikali inavuka mipaka na imekosea maana mbowe siyo kibaka na aache kuhudhuria mahakamani kama muhuni vile alitoa taarifa kupitia wanasheria lakini mahakama imeng'ang'ania kumkamata na wamefanya hivyo kwa utashi wao wenyewe bila kujali vurugu na athari zilizoko na ambazo zitajitokeza wakati hata tarime hapajapoa!
Ni hivi Jeshi la polisi pamoja na wambea wengine pamoja wanojiita wana intelligencia magamba watakuwa wamepata habari na kuweka ulinzi mahakamani na polisi arusha utadhani wanalinda gaidi! Tunajikusanya na kila mtu na rafiki zake tutakutana j3 mahakamani na vyombo vya dola mmezoea kuonea watu safari hii tutajiandaa na tunawasubiri kwa hamu halafu tutajua hii nchi ni ya wananchi au ya baadhi ya makundi ya watu wachache.
Kwa wakazi wa arusha kila aliyesikia habari hii amjulishe na mwenzake tukutane mahakamani jumatatu.mahakamani na tuhakikishe kuwa Mbowe anatolewa na kuachiwa huru maana yeye ni mwanasiasa tena mtanzania wa halali hata angekwenda ulaya bado angerudi tu tanzania kujibu tuhuma zinazomkabili hapakuwa na sababu ya kumwandama kama jambazi mpigania haki za wanyonge.
Tumechoka na polisi wameua watu Arusha na tarime na walimkamata Tundu Lissu na leo wamemkamata Zitto kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano na sasa mwenyekiti Mbowe!
Am lost control on this! Subira haina thamani tena kwangu.
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.
hiyo ni taarifa ichukulie kama ilivyo,maadam wanasoma hapa jamii forum naamini kesho watatoa jibu lako, la msingi tusubiri kesho.haya bana!
Saa 48 zinaanzia saa ngapi au tunakula timing mpaka j3 tuseme kauli yetu imefanya kazi atakapoachiwa!
haya bana!
Saa 48 zinaanzia saa ngapi au tunakula timing mpaka j3 tuseme kauli yetu imefanya kazi atakapoachiwa!
wapambanaji wote wakati umefika.ngoja ngoja wanatuona maboya.sasa tuwe tayari kujitoa,hata mimi pamoja na hali yangu nitajua lakufanya.asante JK na IGP kwa kutupa kibali.Sio kumtoa MBoe tu,Hata kuitoa ccm madarakani,kwani waliweza vipi TUNISIA,Egypt, tusiweze sie ? Hebu tumieni akili.