Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
huyi jamaa ni kum.... kabixa tena atuache hizo propaganda zenu peleken huko huko mtuache cc na ukawa yetu mnajisumbua xana baada mnadi xera mnatuambia usenge lema xaxa cc ndo tushaipenda ukawa na kura zetu tutawapa hata mxeme nn.asante kwa kuandika utumbo wako kawaambie walio kutuma ukawa ni mpango wa mungu hakuna mwanadamu atakae tutenganisha
 
huyu jamaa ni kum.... kabixa tena atuache hizo propaganda zenu peleken huko huko mtuache cc na ukawa yetu mnajisumbua xana baada mnadi xera mnatuambia usenge lema xaxa cc ndo tushaipenda ukawa na kura zetu tutawapa hata mxeme nn.asante kwa kuandika utumbo wako kawaambie walio kutuma ukawa ni mpango wa mungu hakuna mwanadamu atakae tutenganisha
 
Dk. Slaa na Prof. Lipumba hawawezi kumsahau Mbowe kwa kile amewafanyia katika harakati za kisiasa.

Mbowe amewaingiza kwenye mkenge.

Hata wewe umeingia kwenye huo mkenge maana mlizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja mnaanza kulialia
 
Wandugu,

Hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA.

Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe.

Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini.

Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.

Najilaumu sana kusoma utumbo wako
 
Baada ya mwenendo wa Kampeni kuonekana kuwa mgumu huku kila alichoahidi Lowassa kutotimia mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe aamua kukutana na aliyekuwa katibu wake Dkt. Wilbroad Slaa nchini Marekani.

Taarifa za uhakika ni kuwa Mbowe aliondoka nchini toka juzi na kupokelewa na wanachama wa Chadema tawi la DMV aliposhuka Uwanja wa Kimataifa wa Dulles huko Marekani ambapo Dkt. Slaa alimtangulia muda kidogo.

Taarifa zilizopatikana toka kwa moja ya viongozi wa tawi hilo aliyejulikana kama Kalley Pandukizi amesema ni kweli Mbowe na Slaa tumewapokea na wapo hoteli moja hapa Ohio kwa ajili ya mazungumzo binafsi. Amekiri baada ya kumpokea Mwenyekiti wao Mh. Mbowe walimpeleka moja kwa moja hotelini ambapo ndipo walipomkuta Dkt. Slaa.

Tetesi zaidi zinasema Mbowe amemuomba msamaha sana Dkt. Slaa na kumueleza walipotoka kwani mgombea waliomchukua anadhoofika kiafya kila kukicha kiasi kwamba mikutano mingine wananchi hawamsikii anapohutubia vile vile hakuna hata moja alilotimiza katika makubaliano kabla hatujampokea zikiwemo fedha za kampeni hivyo chama kinapata wakati mgumu wa kufanya kampeni kikamilifu.

Inasemekana Mbowe amemueleza Slaa kuwa ujio wa Lowassa umeigharimu Chadema kwani mpaka sasa John Mnyika hajakubali kupanda majukwaani kumnadi Lowassa kitu ambacho ni tabu zaidi kwao. Pamoja na vijana wa Lowassa kuuteka mchakato mzima wa kampeni hali inayokiuka makubaliano tuliyompa.

Kikubwa ni kuwa taarifa za ujumbe mfupi toka kwa Bi. Helen Ongara ambaye ni katibu wa BAWACHA tawi hilo la DMV ni kuwa Mwenyekiti huyo amepoteza tumaini hasa alipowapa video ya Mgombea akiomba kura kwa kigezo cha ulutheri kimewagharimu zaidi hivyo amedai watapigana ili wapate viti vya ubunge ila urais watapoteza.

Hata hivyo aliwadokeza kuwa kampeni zinaratibiwa na Lissu lakini wanafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kuwatosa UKAWA ili wabaki wao kama wao kuliko sasa ambapo wanavibeba vyama vya NCCR MAGEUZI, NLD na CUF. Ambapo hata hivyo hali ya mpasuko imeanza kuonekana kupitia vyama vya CUF na NCCR MAGEUZI.

Walisahau Majuto ni mjukuu huja baadae!!
Ni kiroba tu hangover ikiisha atakana uzi hajaandika yeye
 
Aende akajitoe roho

Mmawia Upo Bunda Sema Octoba Nitakutumia Nauli Uje Dar,kuangalia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Ya Tano Akiapishwa Pale Uwanja Wa Taifa Si Unamjua Si Mwingine Ni Hon.John P Magufuli
 
Hata hujui unacho kiandika masikini baada ya kutojua hatima ya maisha yako,,,,WATAISOMA...NABA....Teeeeeeeh,teeeeeeeh,gamba limedata jamanieeeee

mkuu, huyu SIMIYU YETU kachanganyikiwa,, yaaani sielewi kabisa anachoandika, sijui yuko chekechea??
 
Mm nafurahi tu ma ssm wanavyotoa povu. Hali ni tete. Hizi propaganda kwa sasa hazisaidii chochote,EL yupo ndani ya mioyo ya watz na hakuna anaeweza kubadilisha hilo.
M4C=Magufuli for Change what a mistake wanafanya hawa watu. Wanatapatapa lakini kifo lazima kiwapate mwaka huu.

Mkuu sumu wameitengeneza wenyewe wacha iwauwe wao wenyewe
 
Mmawia Upo Bunda Sema Octoba Nitakutumia Nauli Uje Dar,kuangalia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Ya Tano Akiapishwa Pale Uwanja Wa Taifa Si Unamjua Si Mwingine Ni Hon.John P Magufuli

.... Huyo POMBE kuwa raisi sahau kabisa mkuu.. mpaka sasa LUWASSA ameshashinda...
 
Mmawia Upo Bunda Sema Octoba Nitakutumia Nauli Uje Dar,kuangalia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Awamu Ya Tano Akiapishwa Pale Uwanja Wa Taifa Si Unamjua Si Mwingine Ni Hon.John P Magufuli

Nakushauri wewe na kanone muanze kumandalia nyavu na ndoano za kuvulia sato na kamongo ziwa victoria maana chato ipo Karibu sana ns ziwani,mwaka huu ni lowasa atosha
 
mkuu, huyu SIMIYU YETU kachanganyikiwa,, yaaani sielewi kabisa anachoandika, sijui yuko chekechea??

Mkuu lazima uelewe kuwa ccm kwa sasa hata kama wewe ni profesa,lazima akili itakuwa imehama kufuatia mtiti wa lowasa
 
Mkuu lazima uelewe kuwa ccm kwa sasa hata kama wewe ni profesa,lazima akili itakuwa imehama kufuatia mtiti wa lowasa

hahahahahaaaaa, kuiitetea ccm inabidi kwanza ujitoe ufahamu
 
Nakushauri wewe na kanone muanze kumandalia nyavu na ndoano za kuvulia sato na kamongo ziwa victoria maana chato ipo Karibu sana ns ziwani,mwaka huu ni lowasa atosha

Mtu Mwenyewe Lower Hasa,yupo Chini Sana Kwa Magufuli,sasa Labda Nikushauri Tu Wewe Na Wenzio #Mkapavoice Wakati Lubuva Anamtangaza Hon.John P Magufuli Kuwa Raisi Ambulance Iwepo Karibu Ya Kumbeba Lowassa Wenu Bila Kusahau Inabidi Wawepo Wakina Mama Watakaoweza Kumbembeleza Mama Regina Asipanic Sana.....
 
Join Date : 8th July 2015
Posts : 269
Rep Power : 364
Likes Received
107
Likes Given
33


Angalieni Joining Date yake.

Kumbe alikuwa FB aliposikia Magufuli ametangazwa kugombea ndio akajiunga JF ili alete uzushi katika wale walioitwa kuongeza nguvu ya Team Magufuli.


Maneno mengine ya FB msilete huku kwa Great Thinkers


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Asante sana mkuu kutufichulia huyo nguchiro,lkn ajue kuwa hapa jf siyo fb wanakotembeza porojo na matusi huku rupango njenje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom