Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
hv mtu mzima na akili zako timilifu unapata wapi muda wa kutunga RIWAYA kama hii? mpumbaFU na lofa mkubwa!
 
Join Date : 8th July 2015
Posts : 269
Rep Power : 364
Likes Received
107
Likes Given
33

Angalieni Joining Date yake.

Kumbe alikuwa FB aliposikia Magufuli ametangazwa kugombea ndio akajiunga JF ili alete uzushi katika wale walioitwa kuongeza nguvu ya Team Magufuli.

Maneno mengine ya FB msilete huku kwa Great Thinkers

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Baada ya mwenendo wa Kampeni kuonekana kuwa mgumu huku kila alichoahidi Lowassa kutotimia mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe aamua kukutana na aliyekuwa katibu wake Dkt. Wilbroad Slaa nchini Marekani.

Taarifa za uhakika ni kuwa Mbowe aliondoka nchini toka juzi na kupokelewa na wanachama wa Chadema tawi la DMV aliposhuka Uwanja wa Kimataifa wa Dulles huko Marekani ambapo Dkt. Slaa alimtangulia muda kidogo.

Taarifa zilizopatikana toka kwa moja ya viongozi wa tawi hilo aliyejulikana kama Kalley Pandukizi amesema ni kweli Mbowe na Slaa tumewapokea na wapo hoteli moja hapa Ohio kwa ajili ya mazungumzo binafsi. Amekiri baada ya kumpokea Mwenyekiti wao Mh. Mbowe walimpeleka moja kwa moja hotelini ambapo ndipo walipomkuta Dkt. Slaa.

Tetesi zaidi zinasema Mbowe amemuomba msamaha sana Dkt. Slaa na kumueleza walipotoka kwani mgombea waliomchukua anadhoofika kiafya kila kukicha kiasi kwamba mikutano mingine wananchi hawamsikii anapohutubia vile vile hakuna hata moja alilotimiza katika makubaliano kabla hatujampokea zikiwemo fedha za kampeni hivyo chama kinapata wakati mgumu wa kufanya kampeni kikamilifu.

Inasemekana Mbowe amemueleza Slaa kuwa ujio wa Lowassa umeigharimu Chadema kwani mpaka sasa John Mnyika hajakubali kupanda majukwaani kumnadi Lowassa kitu ambacho ni tabu zaidi kwao. Pamoja na vijana wa Lowassa kuuteka mchakato mzima wa kampeni hali inayokiuka makubaliano tuliyompa.

Kikubwa ni kuwa taarifa za ujumbe mfupi toka kwa Bi. Helen Ongara ambaye ni katibu wa BAWACHA tawi hilo la DMV ni kuwa Mwenyekiti huyo amepoteza tumaini hasa alipowapa video ya Mgombea akiomba kura kwa kigezo cha ulutheri kimewagharimu zaidi hivyo amedai watapigana ili wapate viti vya ubunge ila urais watapoteza.

Hata hivyo aliwadokeza kuwa kampeni zinaratibiwa na Lissu lakini wanafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kuwatosa UKAWA ili wabaki wao kama wao kuliko sasa ambapo wanavibeba vyama vya NCCR MAGEUZI, NLD na CUF. Ambapo hata hivyo hali ya mpasuko imeanza kuonekana kupitia vyama vya CUF na NCCR MAGEUZI.

Walisahau Majuto ni mjukuu huja baadae!!
whether they like or not ccm must go away. vipi mbona mlisema sumaye amekuja kwa sababu afya ya lowasa inazorota ? leotena sio sumaye ni slaa? mnajitekenya na kucheka wenyewe, vipi yale matango poli ya makamba ya 69% hayajawapa ahueni
 
Join Date : 8th July 2015
Posts : 269
Rep Power : 364
Likes Received
107
Likes Given
33

Angalieni Joining Date yake.

Kumbe alikuwa FB aliposikia Magufuli ametangazwa kugombea ndio akajiunga JF ili alete uzushi katika wale walioitwa kuongeza nguvu ya Team Magufuli.

Maneno mengine ya FB msilete huku kwa Great Thinkers

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

............. hahahahahaaaaa, mkuu kumbe tunahangaika bure, asante kwa kutufumbua macho
 
mbowe kuitosa ukawa

baada ya mwenendo wa kampeni kuonekana kuwa mgumu huku kila alichoahidi lowassa kutotimia mwenyekiti wa chadema taifa freeman mbowe aamua kukutana na aliyekuwa katibu wake dkt. Wilbroad slaa nchini marekani.

Taarifa za uhakika ni kuwa mbowe aliondoka nchini toka juzi na kupokelewa na wanachama wa chadema tawi la dmv aliposhuka uwanja wa kimataifa wa dulles huko marekani ambapo dkt. Slaa alimtangulia muda kidogo.

Taarifa zilizopatikana toka kwa moja ya viongozi wa tawi hilo aliyejulikana kama kalley pandukizi amesema ni kweli mbowe na slaa tumewapokea na wapo hoteli moja hapa ohio kwa ajili ya mazungumzo binafsi. Amekiri baada ya kumpokea mwenyekiti wao mh. Mbowe walimpeleka moja kwa moja hotelini ambapo ndipo walipomkuta dkt. Slaa.

Tetesi zaidi zinasema mbowe amemuomba msamaha sana dkt. Slaa na kumueleza walipotoka kwani mgombea waliomchukua anadhoofika kiafya kila kukicha kiasi kwamba mikutano mingine wananchi hawamsikii anapohutubia vile vile hakuna hata moja alilotimiza katika makubaliano kabla hatujampokea zikiwemo fedha za kampeni hivyo chama kinapata wakati mgumu wa kufanya kampeni kikamilifu.

Inasemekana mbowe amemueleza slaa kuwa ujio wa lowassa umeigharimu chadema kwani mpaka sasa john mnyika hajakubali kupanda majukwaani kumnadi lowassa kitu ambacho ni tabu zaidi kwao. Pamoja na vijana wa lowassa kuuteka mchakato mzima wa kampeni hali inayokiuka makubaliano tuliyompa.

Kikubwa ni kuwa taarifa za ujumbe mfupi toka kwa bi. Helen ongara ambaye ni katibu wa bawacha tawi hilo la dmv ni kuwa mwenyekiti huyo amepoteza tumaini hasa alipowapa video ya mgombea akiomba kura kwa kigezo cha ulutheri kimewagharimu zaidi hivyo amedai watapigana ili wapate viti vya ubunge ila urais watapoteza.

Hata hivyo aliwadokeza kuwa kampeni zinaratibiwa na lissu lakini wanafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kuwatosa ukawa ili wabaki wao kama wao kuliko sasa ambapo wanavibeba vyama vya nccr mageuzi, nld na cuf. Ambapo hata hivyo hali ya mpasuko imeanza kuonekana kupitia vyama vya cuf na nccr mageuzi.

Walisahau majuto ni mjukuu huja baadae!!

katawaze kwanza ndo uje mana unatuharibia mazingira yetu hapa
 
Mm nafurahi tu ma ssm wanavyotoa povu. Hali ni tete. Hizi propaganda kwa sasa hazisaidii chochote,EL yupo ndani ya mioyo ya watz na hakuna anaeweza kubadilisha hilo.
M4C=Magufuli for Change what a mistake wanafanya hawa watu. Wanatapatapa lakini kifo lazima kiwapate mwaka huu.
 
Wandugu,

Hakuna kipindi nilichoumia kama kipindi hiki ambacho kimefanya hawa makamanda wetu kututosa. Nakubali wafuasi na wanachama wengi kupitia migongo yao wameshatimua zao wengine aidha kwa kufuata ushawishi wao au wengine kuchukua maamuzi binafsi baada ya kuona mgombea wetu ni BOMU LINALOSUBILI KUPASUKA.

Mpaka sasa ni kama tupo ndotoni hatuelewi hivi Mbowe tamaa hii ya pesa ndio kweli imekufanya uuze chama? Miaka yote ya mapambano imepitea bure badala ya kwenda mbele tumerudi nyuuuuma kuanza na zero. Hivi kweli Mbowe. Hivi kwa hali yoyote uchaguzi huu hatuwezi kushinda kamwe.

Lakini sasa embu tujipange baada ya uchaguzi Mbowe utatuambia nini kwa sababu wewe ndio mastermind wa hili dili lote. Mkae tayari. Nadhani hata ikiwezekana baada tu ya uchaguzi itabidi mkae mbali na ofisi msiingie tutaweka makufuli yetu na tutamtaka kila mmoja ajieleze alishiriki vipi kuwaleta mafisadi kabla ya kuruhusiwa kuingia ofisini.

Msidhani siasa ni mchezo wa kitoto. Tutawaomba viongozi wa vyama vingine watimue zao na ilani zao hatuzitaki. Duni utarudi kwenu hatukuhitaji na hapo ndio sasa itazaliwa CHADEMA ASILIA. Mbatia utafute pa kwenda naona sasa kwako kunaendelea kupasuka unajifanya unatetea ukawa. Uongo mtupu. Uchumiaji tumbo tuu kama hujatumwa.
 
huko TISS hamna kazi? si mcheze tu hata game ya Solitaire kwenye laptop zenu kuliko kuandika gossip

vijana wa lowasa kazini, wao utawasikia hata kama yuko kwenye machela sisi ni luwasa tu, du kazi mmepata!

whether they like or not ccm must go away. vipi mbona mlisema sumaye amekuja kwa sababu afya ya lowasa inazorota ? leotena sio sumaye ni slaa? mnajitekenya na kucheka wenyewe, vipi yale matango poli ya makamba ya 69% hayajawapa ahueni

......mfamaji haachi kutapatapa
 
mzksaditz hadithi hadithi...urongo njoo...kawadanganye ccm waliokutuma utupie uzi wako huku jamvini sisi hatudanganyiki. hivi punde nimetoka kuongea na mheshimiwa mbowe na hajakutana na hatakutana mna muasi slaa. mbowe amekwenda kulielezea baraza la usalama la umoja wa mataifa juu ya hali ya kisiasa nchini na jinsi ambavyo ccm mnafanya uhuni wa kuwanyima wapinzani fursa ya kutumia redio ya taifa na mnachana mabango ya wapinzani. na amekwenda kuwaomba waje nchini ili pakitokea vurugu mtakazozianzisha ninyi upatikane ushahidi wa kuwapeleka icc. UKAWA ipo na itaendelea kuwepo mpaka pale katiba ya wananchi itakapopatikana rasmi.
CHADEMA KUITOSA UKAWA

Baada ya mwenendo wa Kampeni kuonekana kuwa mgumu huku kila alichoahidi Lowassa kutotimia mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe aamua kukutana na aliyekuwa katibu wake Dkt. Wilbroad Slaa nchini Marekani.

Taarifa za uhakika ni kuwa Mbowe aliondoka nchini toka juzi na kupokelewa na wanachama wa Chadema tawi la DMV aliposhuka Uwanja wa Kimataifa wa Dulles huko Marekani ambapo Dkt. Slaa alimtangulia muda kidogo.

Taarifa zilizopatikana toka kwa moja ya viongozi wa tawi hilo aliyejulikana kama Kalley Pandukizi amesema ni kweli Mbowe na Slaa tumewapokea na wapo hoteli moja hapa Ohio kwa ajili ya mazungumzo binafsi. Amekiri baada ya kumpokea Mwenyekiti wao Mh. Mbowe walimpeleka moja kwa moja hotelini ambapo ndipo walipomkuta Dkt. Slaa.

Tetesi zaidi zinasema Mbowe amemuomba msamaha sana Dkt. Slaa na kumueleza walipotoka kwani mgombea waliomchukua anadhoofika kiafya kila kukicha kiasi kwamba mikutano mingine wananchi hawamsikii anapohutubia vile vile hakuna hata moja alilotimiza katika makubaliano kabla hatujampokea zikiwemo fedha za kampeni hivyo chama kinapata wakati mgumu wa kufanya kampeni kikamilifu.

Inasemekana Mbowe amemueleza Slaa kuwa ujio wa Lowassa umeigharimu Chadema kwani mpaka sasa John Mnyika hajakubali kupanda majukwaani kumnadi Lowassa kitu ambacho ni tabu zaidi kwao. Pamoja na vijana wa Lowassa kuuteka mchakato mzima wa kampeni hali inayokiuka makubaliano tuliyompa.

Kikubwa ni kuwa taarifa za ujumbe mfupi toka kwa Bi. Helen Ongara ambaye ni katibu wa BAWACHA tawi hilo la DMV ni kuwa Mwenyekiti huyo amepoteza tumaini hasa alipowapa video ya Mgombea akiomba kura kwa kigezo cha ulutheri kimewagharimu zaidi hivyo amedai watapigana ili wapate viti vya ubunge ila urais watapoteza.

Hata hivyo aliwadokeza kuwa kampeni zinaratibiwa na Lissu lakini wanafikiria kuchukua maamuzi magumu ya kuwatosa UKAWA ili wabaki wao kama wao kuliko sasa ambapo wanavibeba vyama vya NCCR MAGEUZI, NLD na CUF. Ambapo hata hivyo hali ya mpasuko imeanza kuonekana kupitia vyama vya CUF na NCCR MAGEUZI.

Walisahau Majuto ni mjukuu huja baadae!
 
Nasema..hivi Hata kibaki wa KENYA Alikuwa mgonjwa lkn alichukua Nchi...Nasema hivi hata MBOWE Akienda CCM...Sisi na ukawa tu...Hata jiwe tutalipigia kura kuliko CCM...
 
whether they like or not ccm must go away. vipi mbona mlisema sumaye amekuja kwa sababu afya ya lowasa inazorota ? leotena sio sumaye ni slaa? mnajitekenya na kucheka wenyewe, vipi yale matango poli ya makamba ya 69% hayajawapa ahueni

Liambie gamba naona limeukimbia uzi wake baada ya kuona kila anayechangia anamtwanga ngumi za shingo na magamba wenzake wamelala mbele
 
Moderator kuweni waungwana tetesi za Ukawa juu ya Ccm mnazifuta mara zote.
Na mambo ya tetesi na hisiya JF tushayakataa
Futeni huu upuuzi la sivyo mvumilie tetesi za Ccm zitakazo poromoshwa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom