Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

hana lolote anatafuta cheap popularity ili agombee urais 2015[
Acha ulimbukeni wewe,tanguliza utaifa mbele,kama kitu kizuri kafanya mtu kwanini msimpongeze,why kila mtu serikalini atumie gari la kifahari inakuwa hakuna tofauti ya rais na watumishi wa kawaida
 
Weka sawa akili yako wewe:1) Mbona hata walio sio matajiri wanaulizwa vyanzo vyao vya mapato? Tuimeshaona Ridhwan akisemwa sana humu, wakati baba'ke ni Rais, tumeshaona January akisemwa sana humu wakati babake ni mtumishi wa umma miaka nenda rudi. Sasa leo tukiuliza Mbowe mali kairithi kwa nani, inakua mwao? Wakati baba'ke na mkwewe walikuwa watmishi wa umma? Tena wakati wa Nyerere? Walikuwa hawaruhusiwi hata kuwa na nyumba ya kuwekeza. 2) Unalo?

Mkuu nakushauri tena weka akili yako sawa kwenye hoja husika ulete mjadala wa faida na hasara ya kurudisha Mashangingi! husilete hoja zako zisizo na kichwa wala kiwiliwili hapa, kama huwezi sepa kaanzishe hiyo thread yako Mpya ya kumjadili Babake mbowe na kuulizia alipata wapi mali? utapata majibu huko huko, hii thread ina jadili kwanini serikali ya CCM inang'ang'ania kutumia magari ya bei ghali sana ya manunuzi na uendeshaji huku kuna mambo ya msingi ambayo wananchni hawapati kama huduma za tiba, shule, Mikopo ya elimu ya juu, barabara, masoko ya uhakika kwa mazao ya wakulima nk...

Watu kama wewe CCM inatakiwa iwapige marufuku kutumia jina lao na pia iwapige marufuku kuwatetea maana mnaiongezea CCM maumivu kwa kukosa hoja za maana na kushindwa kujenga hoja; hivyo CCM inaonekana ni chama cha mambumbumbu kila kukicha!
 
Baadhi ya Matakwa ya CDM ni common sense ambayo nadhani kila Mtanzania anatakiwa ayakubali. Lakini mawili au matatu katika hayo matakwa sio cost effective na Tanzania hatuwezi kuafford, mfano kuwawekea wazee 20,000Tsh kwa ajili ya retirement nadhani that is total nightmare. Serikali ya Tanzania haina uwezo wa kuweka 20K kwa ajili ya mtutu yoyote.

Kuhusu swala la kuondoa kodi za biashara ndogo ndogo, kwanza tufanye definition ya ni nini biashara ndogo, and then what % hizo biashara ndogo zinachangia katika total Tanzania revenue then tujue kama tunafanya cut kwenye hiyo tax ni wapi tutaongeza ili kufunga gap.

Nadhani this is a good mwanzo, japokuwa i was expecting more than kurudisha mashangingi bali kurecommend vitu kama Borrowing Cap kwa serikali ambayo itakomesha kabisa mchezo wa kukupa bila kuangalia what is the implications. Kuondoa several taxes kama import tax kwa wazawa walio nje ya nchi ambao wanataka kuwekeza over 100Million kwenye sector kama ujenzi na kilimo. Kupunguza payroll taxes kwa small business ambazo zimeanzishwa na wazawa. Kubadilisha mfumo wa tax wa mult-national corp. I am expecting more than mashangingi.....
 
1) Waziri. Edwin Mtei au sio yeye?2) Mbowe anaruihusiwa kurithi mali ya Mkwewe? Unafikir yuke Dokta kalala? Anaakii X 1,000,000 kuliko Eziraeli.

FaizaFoxy, namfahamu Mbowe vizuri, kazaliwa na 'silver spoon' na mungu kamzidishia kwa kuoa kwenye familia yenye silver-spoon = double silver spoon my dear so get over it!
 
Mkuu nakushauri tena weka akili yako sawa kwenye hoja husika ulete mjadala wa faida na hasara ya kurudisha Mashangingi! husilete hoja zako zisizo na kichwa wala kiwiliwili hapa, kama huwezi sepa kaanzishe hiyo thread yako Mpya ya kumjadili Babake mbowe na kuulizia alipata wapi mali? utapata majibu huko huko, hii thread ina jadili kwanini serikali ya CCM inang'ang'ania kutumia magari ya bei ghali sana ya manunuzi na uendeshaji huku kuna mambo ya msingi ambayo wananchni hawapati kama huduma za tiba, shule, Mikopo ya elimu ya juu, barabara, masoko ya uhakika kwa mazao ya wakulima nk...

Watu kama wewe CCM inatakiwa iwapige marufuku kutumia jina lao na pia iwapige marufuku kuwatetea maana mnaiongezea CCM maumivu kwa kukosa hoja za maana na kushindwa kujenga hoja; hivyo CCM inaonekana ni chama cha mambumbumbu kila kukicha!

Kwanza angerudisha fedha za NSSF hapo ningekuelewa.
 
wewe kenge nini, ni kama vile una akili za ku download. Kwani kukopa ni dhambi? Nini maana ya mkopo? Ulitaka wasikope waibe?Ccm hawakopo kwa sababu wanajua pakuzichukulia.Na kama huna point kaa kimya, au kalale. Kenge wewe
Wewe una msongo wa mawazo unakuchanganya umelazimishwa ndoa huko Arusha, Kitchen Party ukufanya nini
 
Baadhi ya Matakwa ya CDM ni common sense ambayo nadhani kila Mtanzania anatakiwa ayakubali. Lakini mawili au matatu katika hayo matakwa sio cost effective na Tanzania hatuwezi kuafford, mfano kuwawekea wazee 20,000Tsh kwa ajili ya retirement nadhani that is total nightmare. Serikali ya Tanzania haina uwezo wa kuweka 20K kwa ajili ya mtutu yoyote.

Kuhusu swala la kuondoa kodi za biashara ndogo ndogo, kwanza tufanye definition ya ni nini biashara ndogo, and then what % hizo biashara ndogo zinachangia katika total Tanzania revenue then tujue kama tunafanya cut kwenye hiyo tax ni wapi tutaongeza ili kufunga gap.

Nadhani this is a good mwanzo, japokuwa i was expecting more than kurudisha mashangingi bali kurecommend vitu kama Borrowing Cap kwa serikali ambayo itakomesha kabisa mchezo wa kukupa bila kuangalia what is the implications. Kuondoa several taxes kama import tax kwa wazawa walio nje ya nchi ambao wanataka kuwekeza over 100Million kwenye sector kama ujenzi na kilimo. Kupunguza payroll taxes kwa small business ambazo zimeanzishwa na wazawa. Kubadilisha mfumo wa tax wa mult-national corp. I am expecting more than mashangingi.....

Siasa waijua au waisikia? Si angerudisha fedha alizokopa NSSF. Halfu angesema mii ni tajiri natka kuwatumikia wananchi sina haja ya mshahara wala marupurupu wala magari.

Si juzi kawauzia magari used Chadema kwa bei kuliko yakiwa mapya? nyie mko wapi nyinyi? kuna mchaga katika dunia hii asiyejuwa fedha nini? huyo anawekeza huyo.
 
Mimi naomba tujiulize humu wanomtetea Mbowe wachaga wangapi? na wasi mtetea wachga wangapi? ukikuta kuna mchaga humu hamtetei mbowe nichinje!
 
yan hata political consultant wao mh.mukama kasema hana la kusema hapa,kasema cdm ngoma nzito. Ila pinda kalalamika eti mbowe anataka kumpindua ktk jina la 'mtoto wa mkulima'. Makamba jr kasema hata babake hakuthubuti ilo. Hamad rashid kasema akibahatika kuishinda ccm 2015 na ivo kuunda kambi rasmi ya upinzani,kasema atatumia usafiri wa pikipiki. Yan watu hawa wanaumizwa vichwa ile mbaya,CDM mmeandka historia!

Angalia hata wanaitetea CCM humu JF ni aibu tupu uwezo wa kiakili sijui waliacha shule wakiwa form-II ? CCM imejichakachuwa na hata mawaziri wa CCM wamejipa Degree za uongo na kujiita wote ma-Dr hakuna kitu hakika CCM imezama deep sea alikozamishwa Terrorist Bin Laden?
 
Siasa waijua au waisikia? Si angerudisha fedha alizokopa NSSF. Halfu angesema mii ni tajiri natka kuwatumikia wananchi sina haja ya mshahara wala marupurupu wala magari.

Si juzi kawauzia magari used Chadema kwa bei kuliko yakiwa mapya? nyie mko wapi nyinyi? kuna mchaga katika dunia hii asiyejuwa fedha nini? huyo anawekeza huyo.

Acha kuhangaika kumjibu huyo Foxy, atkupotezea bure.
 
Anatafuta uraisi 2015 kwa kila njia! Ameona Zitto kamzidi kete kwa kukataa posho! Anata na yeye aonekane bora
Ni bora kutafuta Urais namna hiyo badala ya kutoa rushwa! wewe naona akili yako imejaa mchanga..
 
Back
Top Bottom