CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,922
wabunge wa cdm wasanii sana pamoja na viongozi wao, wamejifanya kakataa posho halafu wanazunguka mlango wa nyuma wanadhaminiwa na ofisi ya katibu wa bunge wanachakuwa mikopo benki, juzi tena mmepata pesa si mgekataa kuchukuwa zile milioni 90, mlizochukuwa! Ni sawa sawa unasema nguruwe halamu wakati unakunywa supu yake, acheni usanii unakopa ili iweje wananchi wamekutuma bungeni kwenda kukopa?
wewe kenge nini, ni kama vile una akili za ku download. Kwani kukopa ni dhambi? Nini maana ya mkopo? Ulitaka wasikope waibe?
Ccm hawakopo kwa sababu wanajua pakuzichukulia.
Na kama huna point kaa kimya, au kalale. Kenge wewe