Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

Sasa wew tatizo lako nini? Ulitaka Chadema wawe kama maccm ambao ni marufuku kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama nje ya Rais au M/kiti aliopo Madarakani?

Kilasiku tunawaambia humu ndanu kwamba igeni demokrasia inayofuatwa na Cdm hamtaki. Saizj mnapiga kelele mgombea mwingine kajitokeza kushindana na mgombea wa kwanza kwenye nafasi ileile, mmezoea utaratibu wa ccm sio?????

BACK TANGANYIKA
haa haa,ndani ya ccm hakuna demokrasia, bali kuna ghasia na udikteta.
 
Hiyo ni haki ya kila mwanachama mbona mnaakili fupi kama kuongoza chama chenu mnashindwa mtaweza nnchi wadini wakabila nyinyi
 
Ni kheri ila kama wangekuja hata 5 tungeshudia mtifuano na vurugu match ya democrasia nchini ila sawa Mbowe ni kisiki maana kafanya makubwa kwa chama chake anasitaili kupongezwa si kama Lipumba miaka yote lakini chama hakina meno hata ya kung'ata nyau.
Mkuu umejisahau nini, Unamponda UKAWA mwenzenu?
 
Ili wewe na ccm yako mkafanye vurugu na ikibidi kuchoma ofisi mpate vya kuandika akina thatha, uhuru, Jambo leo nk.

Chadema chama makini, nihainai yake kugombea ndio demokrasia, lakin wavamizi, wachochezi na wahalifu lazima wazibitiwe.

Usalama wa Mbaruku kwanza, wa chama, mali za chama na wanachama. Kilichotokea kwa NCCR na Mrema hakitatokea cdm-

Pole mkuu.
Unaweza kutuambia kwa nini Wapambe wa mpinzani wa KISIKI pamoja na wandishi wa habari wamezuiliwa kushuhudia Mwenyekiti wa Tabira akichukua fomu? Mkumbuke demokrasia Inakwenda sambamba na uhuru wa vyombo vya habari.
 
Ni kheri ila kama wangekuja hata 5 tungeshudia mtifuano na vurugu match ya democrasia nchini ila sawa Mbowe ni kisiki maana kafanya makubwa kwa chama chake anasitaili kupongezwa si kama Lipumba miaka yote lakini chama hakina meno hata ya kung'ata nyau.
..haa haa mkuu mbowe kajitaidi cdm, mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni!
 
CCM mna akili za kishetani, ni uchaguzi gani wa ccm ngazi ya kitaifa mwenyekiti wa cham alishawahi kuwa na wagombea wa kushindana nae? Kila siku watu mnafiri ujinga tu

Baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe kusema yeye ni kisiki Chadema na kwamba mwenye uwezo wa kujipima ubavu naye ajitokeze, Mwenyekiti wa CHADEMA Tabora amejitokeza na kutema cheche kuwa ubavu huo anao. Hata hivyo haikuwa rahisi kwa mwenyekiti huyo kuchukua fomu hasa pale wapambe wake walipopigwa stop kumsindikiza huku wandishi wa habari nao wakinyimwa fursa ya kushuhudia tukio hilo la mpinzani wa KISIKI kuchukua fomu. Kwa mujibu wa chanzo cha habari , kuna uwezekano kubwa wa fomu ya mpinzani huyo wa mwenye chama ikachakachuliwa na kupelekea kukosa sifa za kupigiwa kura.
Mytake: kwa mujibu wa maelezo ya Mbowe kuwa yeye yu KISIKI ndani ya CDM, nilitegemea mpinzani wake apokelewe kwa mikono miwili ili kudhihirisha u-kisiki wake. Nini tafsiri ya mizengwe hii dhidi ya Mwenyekiti wa Tabora?
Source: Mtanzania, Mzalendo
 
Kama kweli Zitto anaungwa mkono sana uko mikoani na Mbaruk anatajwa kuwa mshirika wa Mr sifa (ZZK) basi Mbowe aesabu maumivu.
mkuu mbaruku ameönyesha changamoto kwa mbowe, lakini kwa suala la ushindi ndani ya chama, mbaruku hana chake. Wananchi wengi hapa nchini wanaamini zitto ni msaliti, hata chama cha act watanzania wa kawaida wanaamini kimeanzishwa kwa lengo maalumu!
 
..haa haa mkuu mbowe kajitaidi cdm, mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni!
Kwa hiyo kwa sababu kajitahidi, awe mwenyekiti wa milele, basi akina nyerere, Mandela na wengine wangekuwa viongozi wa maisha
 
Kikwete alimbwaga SLAAamechanganyikiwa mpaka leo

We mbona ni kilaza? Mimi nazungumzia 2005 we unaleta habari za 2010 , huu mwaka kiwete alibwagwa japo alisaidiwa na kanisa pamoja na misikiti ikiwa pia lipumba alimsaidi. Baada ya hapo ndipo jaji boman na usalama ulimuokoa. Wasilamu walisema tumsaidie tu ili tusipate aibu kuwa wasilamu hawajui kuongoza mana angekuwa msilamu wa kwanza kuongoza nchi awamu moja tu na kung'atuka. Upo hapo? Siri zote za hii nchi yunazo.
 
Back
Top Bottom