Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk


Mmechelewa sana kuanzisha hii thread yenu. Leo tena mtagombezwa na mabwana zenu CCM kama walivyowagombeza mlivyozembea kwenye mkakati ule wa madiwani wa Shinyanga ambao mlilenga wakae CCM kwa muda wakielekea ACT-Tanzania.
Makene acha kuwa kibaraka wa Mbowe, ni vizuri demokrasia itumike, Mbarouk ana sifa za kugombea. Isiwe kila anayempinga Mbowe anaitwa Msaliti!!!! CDM kisiwe chama cha kitaifa kwa wanachama LAKINI nafasi nyeti za uongozi kwa WACHAGA tu!
 
Lakini kiongozi bado hawajatibu kidonda, wapinzani wataendelea kuzaliwa siku hadi siku, ona sasa huyu wa Tabora naye wamfukuze basi

Huyo wa Tabora hana madhala kwa mbowe. Laiti angekua na madhala wangekua walishamfukuza kitambo.

Hafaamiki popote kwenye siasa za kitaifa hivyo usitaraji mbuzi kunenepa siku ya mnada.
Hakuna mjumbe mjingamjinga atakayekubari kukisadaka chama kwa kumpigia kura huyo mgombea toka tabora. Ni sawasawa wakate tawi walilokalia.

We nielewe tu. Watu makini na wanaokubalika ndani ya chama mpaka kwa wananchi tayari walishafukuzwa. Hivyo usitarajie mapya kutoka ufipa.

Ni watu walewale, akili zilezile, mbinu zilezile kwa kutaraji matokeo tofauti.
 
We mbona ni kilaza? Mimi nazungumzia 2005 we unaleta habari za 2010 , huu mwaka kiwete alibwagwa japo alisaidiwa na kanisa pamoja na misikiti ikiwa pia lipumba alimsaidi. Baada ya hapo ndipo jaji boman na usalama ulimuokoa. Wasilamu walisema tumsaidie tu ili tusipate aibu kuwa wasilamu hawajui kuongoza mana angekuwa msilamu wa kwanza kuongoza nchi awamu moja tu na kung'atuka. Upo hapo? Siri zote za hii nchi yunazo.
Kwa hiyo Wakristo hawakumpigia kura Kikwete? Na Mbona mnasema Wakristo ni wengi kiliko Wakristo nchini, iweje waislamu wawashinde wakristo?
 
Unaweza kutuambia kwa nini Wapambe wa mpinzani wa KISIKI pamoja na wandishi wa habari wamezuiliwa kushuhudia Mwenyekiti wa Tabira akichukua fomu? Mkumbuke demokrasia Inakwenda sambamba na uhuru wa vyombo vya habari.

Uwe unasoma kilichoandikwa ndipo unauliza. Utakuwa huna maana kuuliza swali ambalo umepewa jibu kuanzia mstari wa kwanza.

quote_icon.png
By adolay

Ili wewe na ccm yako mkafanye vurugu na ikibidi kuchoma ofisi mpate vya kuandika akina thatha, uhuru, Jambo leo nk.

Chadema chama makini, nihakina yake kugombea ndio demokrasia, lakin wavamizi, wachochezi na wahalifu lazima wazibitiwe.

Usalama wa Mbaruku kwanza, wa chama, mali za chama na wanachama. Kilichotokea kwa NCCR na Mrema hakitatokea cdm-

Pole mkuu.
 
Lakini kiongozi bado hawajatibu kidonda, wapinzani wataendelea kuzaliwa siku hadi siku, ona sasa huyu wa Tabora naye wamfukuze basi
kwani huyu wa tabora kakosea nin mkuu? Au unataka afukuzwe kama shibuda alivyoutaka uenyekiti wa ccm taifa?
 
Huyo wa Tabora hana madhala kwa mboweili Laiti angekua na madhala wangekua walishamfukuza kitambo.

Hafaamiki popote kwenye siasa za kitaifa hivyo usitaraji mbuzi kunenepa siku ya mnada.
Hakuna mjumbe mjingamjinga atakayekubari kukisadaka chama kwa kumpigia kura huyo mgombea toka tabora. Ni sawasawa wakate tawi walilokalia.

We nielewe tu. Watu makini na wanaokubalika ndani ya chama mpaka kwa wananchi tayari walishafukuzwa. Hivyo usitarajie mapya kutoka ufipa.

Ni watu walewale, akili zilezile, mbinu zilezile kwa kutaraji matokeo tofauti.
Nimekuelewa mkuu, na inawezekana ameshnikizwa kuchukua fomu Ili ionekane kuna demokrasia siyo? Kazi kweli kweli
 
Mods: mmeniaribia jumapili na kanisani siendi tena kwa kunganisha post yangu Re: "Imagine Mbaruk akimshinda Mbowe CHADEMA Uchaguzi wa M/kiti Taifa" hamjanitendea haki kamwe post yangu ina maudhui tofauti sana mpinzani kapata so lakini akishinda vipi. Mmenichefua sana MODS poa ila naombeni please and please return it back i beg you.
 
CCM mna akili za kishetani, ni uchaguzi gani wa ccm ngazi ya kitaifa mwenyekiti wa cham alishawahi kuwa na wagombea wa kushindana nae? Kila siku watu mnafiri ujinga tu

Si ndio maana tunataka ccm iondoke, mnataka kufanana nayo tena?!
 
Kwa hiyo Wakristo hawakumpigia kura Kikwete? Na Mbona mnasema Wakristo ni wengi kiliko Wakristo nchini, iweje waislamu wawashinde wakristo?

Naona bado we ni kilaza, funguka uelewe ee msukule. Rudia nilichokiandika kuwa kanisa na misikiti ilimsaidia sana kikwete . ktk msikiti wa gadafi dodoma alito ahadi kuwa atawapTia mahakama ya kadhi ila akawapiga chenga baada ya maaskofu kukataa. Upo hapo. Tulia dawa ikuingie ili ujue jinsi ssm imekufanya msukule na hujitambui hatakama unapewa buku saba au kumi
 
Uwe unasoma kilichoandikwa ndipo unauliza. Utakuwa huna maana kuuliza swali ambalo umepewa jibu kuanzia mstari wa kwanza.
Mkuu, mbona unataka kulazikisha nielewe unavyotaka wewe, unaleta udikteta mpaka mitandaoni?
 
mkuu mbaruku ameönyesha changamoto kwa mbowe, lakini kwa suala la ushindi ndani ya chama, mbaruku hana chake. Wananchi wengi hapa nchini wanaamini zitto ni msaliti, hata chama cha act watanzania wa kawaida wanaamini kimeanzishwa kwa lengo maalumu!

wananchi wapi hao unaowazungumzia?
 
Bwana akiwa upande wako ni nani aliye juu yako? Bwana yu upande wa chdm, pepo wachafu ccm watashindana weeeee lakini hawatashinda
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tabora Kansa Mbarouk amejiuzulu nafasi zake zote ndani ya CHADEMA na kutangaza kuwa sasa anaenda kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa....

Hatua hiyo ya kushtukiza imemtia kiwewe mh Mbowe pamoja na kundi lake ambao hivi sasa wanahaha kumchafua kansa... wanatumia mitandao ya kijamii, nafasi zao za uongozi ndani ya chama na marafiki zao mbalimbali lakini mbaruk kwa jinsi anavyokubalika atashinda...

Twende na Mbaruk
Mbona unajing'ata? We leta taarifa tu inatosha. Hayo mambo ya kuchafuana hujaulizwa
 
Nimekuelewa mkuu, na inawezekana ameshnikizwa kuchukua fomu Ili ionekane kuna demokrasia siyo? Kazi kweli kweli
mkuu mbona kuna taarifa mchange na nduguyo zitto wameshamwingizia mzigo wa milioni 3 tayari kwenye akaunt kwa ajili ya ushindi kwenye uchaguzi huu?
 
Mkuu, mbona unataka kulazikisha nielewe unavyotaka wewe, unaleta udikteta mpaka mitandaoni?


Kwasababu upo kishabiki badala ya hoja, kama unaulizwa swali mara kadhaa jibu likianzia mstari wa kwanza....unatutia aibu.

maana yake husomi ila kuandika tu chochote kinachokutoka akilini hatakama wachangiajio wamekieleza na kufafanua vema

akili ya waandishi wa Uhuru, Habari leo, Jambo nk.

soma hapa chini uelewe sababu hutaki kajinyonge, chadema inajiendesha haindeshwi kwa maelezo na hoja za wapigaproganda na wachochezi. Usalama kwanza hizo mbinu zenu zimegonga mwaba.


quote_icon.png
By adolay

Ili wewe na ccm yako mkafanye vurugu na ikibidi kuchoma ofisi mpate vya kuandika akina thatha, uhuru, Jambo leo nk.

Chadema chama makini, nihaki yake kugombea ndio demokrasia, lakin wavamizi, wachochezi na wahalifu lazima wazibitiwe.

Usalama wa Mbaruku kwanza, wa chama, mali za chama na wanachama. Kilichotokea kwa NCCR na Mrema hakitatokea cdm-

Pole mkuu.
 
CHADEMA Ni ukoo WA mapanya buku kama maCCM. hawafai kuwepo kwenye uso WA ulimwengu huu!
 
namsikitikia huyu mgombea kwani kabla ht ya uteuzi au kabla ya uchaguzi kurugenzi ya habari chini ya MAKENE amemuita MSALITI. SS CONNECT DOT. BORA ASINGECHUKUA UAMUZI WA KUGOMBEA CHAMA TAYARI KINA MWENYEKITI KABLA HT YA UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom