Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,436
- 2,156
Una uhakika Magufuli hatakaa aonje jela?Wakati uliopita ni sehemu nzuri ya kutembelea ila si mahali salama pa kukaa....Mbowe kinachomgharimu anapenda kukaa wakati uliopita
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂
Bora mbowe yupo jela za kawaida hizi kuliko wewe uliyeko kwenye jela ya akili!!