Jambo la kufikirika hili.Ipo siku isiyo na jina watawala watatuzuia watu tusiongee lkn hata mawe yataongea.
Enyi watanzania mmepewa viungo vya mwili na akili. Vitumieni kumtetea Mbowe. Msijipe moyo kwamba kuna siku mawe yataongea.
Mbona Syria, Cameroon, Gabon, Korea Kaskazini, n.k ambako kuna udikteta uliyokomaa mawe hayaongei???