Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,097
- 20,261
- Thread starter
- #41
Wapinzani wa nchi hii wana roho mbaya sanaMnateka nyara msiba kwa maslahi ya kisiasa
Rais wetu pia alishawahi kwenda kwa Msigwa alipofiwa na dada yake,japo hatukuona hata salam kutoka kwa msigwa na mbowe pale Rais wetu alipofiwa na dada yake