Mbowe amwangushia maombi mazito Rais Magufuli

Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Siku hizi kila mtu ni system....mbaya zaidi na sisi mazuzu wengi tunaaminishwa haya!!
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Opposition siyo mtu, Opposition ni wananchi wenye mawazo tofauti n wengine ua mwenzake. Aliyefiwa ni Mbowe siyo chadema hivyo huwezi kumpangia cha kuongea au kufanya. Na haimaanishi kuwa ndio anamuunga mkono Magufuli baada ya Magufuli kwenda kuwapa pole
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho

Ndiyo maana huwa nawashangaa mno Watanzania ambao Mishipa yao ya Shingo huwa inawakakamaa kwa mambo ya Siasa.
 
Wafiwa wanamwombea mgeni safi.

..hata mimi nimashangaa.

..Jpm anakwenda msibani, badala ya kuwaombea waliofiwa, anawapa kazi ya kumuombea yeye.

..halafu mashabiki wa Jpm wanaona jambo hilo ni sawa na linapaswa kupongezwa.

..kwa mwendo huu sitashangaa siku akihudhuria msiba halafu badala ya kutoa pole, akataka waliofiwa wampe pole. Na mashabiki wake wanaweza kumpongeza.
 
Lijiwe bwana linawaza uteuzi teuzi tu eti ungekuwa mchungaji
 
..hata mimi nimashangaa.

..Jpm anakwenda msibani, badala ya kuwaombea waliofiwa, anawapa kazi ya kumuombea yeye.

..halafu mashabiki wa Jpm wanaona jambo hilo ni sawa na linapaswa kupongezwa.

..kwa mwendo huu sitashangaa siku akihudhuria msiba halafu badala ya kutoa pole, akataka waliofiwa wampe pole. Na mashabiki wake wanaweza kumpongeza.
Imekuuma baada ya Mbowe kwenda kinyume na matarajio yako
 
FB_IMG_1564563993273.jpg
FB_IMG_1564564001741.jpg
 
Ati awe mchungaji aiseee kwahio hafai kuwa mwenyekiti? Huyu mzee ana maneno ya shobo kweli.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kua mchungaji kuna tatizo gani?
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Ngj tko kanisani
Kuna Misa, kanisa limejaa, naona viongozi wa nchi wapo kibao, lemutuz naye Ndani
Wajanja wa mjini wote ndani
Wewe sahv natumai bado uko kwa shemeji yko hapo umeshik rimote ya TV tu

Ova
20190731_141239.jpg
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Hata Lisu mtu wa system sio ?
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Either humjui vizr Mungu, ukiona uliyemfanyia ubaya anakuombea Mema, Ogopa sana maana kwa Mungu anakua anakupalia makaa.
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Elezea basi maana unaonekana unajua sana
 
Either humjui vizr Mungu, ukiona uliyemfanyia ubaya anakuombea Mema, Ogopa sana maana kwa Mungu anakua anakupalia makaa.
Mungu siyo bavicha hadi awe na chuki kubwa kama fisi maji
 
Back
Top Bottom