mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,481
- 138,345
Au unataka hotuba ya mbowe kanisani weMungu siyo bavicha hadi awe na chuki kubwa kama fisi maji
Mbugila
Ova
Au unataka hotuba ya mbowe kanisani weMungu siyo bavicha hadi awe na chuki kubwa kama fisi maji
Hakuna mtu mpumbavu humu JF Kama wewe, unadhani Mbowe ana Roho ya chuki Kama Magufuli? Ulitarajia Mbowe aonyeshe chuki kwa Magufuli kwa matendo yake maovu?Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.
Source :millard ayo.
My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Huna unalojua Mkuu, kwa kukusaidia tu, watu wa TISS waliopo upinzani ni James Mbatia na Mabere Marando na wengine siwezi kuwataja.Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Huyo hana analojua MkuuKwa hiyo ile Ile hasara ya mabilioni aliyopata kuharibiwa shamba lake na kuvunjiwa Bilcanas watu wa system wanamrudishia kwa mlango wa nyuma? Basi Tanzania tuna siasa za kipumbavu kuwahi kutokea duniani.
Ila wewe mpumbavu inaonekana una roho ya chuki sanaHakuna mtu mpumbavu humu JF Kama wewe, unadhani Mbowe ana Roho ya chuki Kama Magufuli? Ulitarajia Mbowe aonyeshe chuki kwa Magufuli kwa matendo yake maovu?
Neno la Mungu linasema, waombeeni wote wanaowaudhi, kisasi hulipwa na Mungu.
Jinga Sana wewe
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.
Source :millard ayo.
My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Kuwa mtu wa system ni jambo la kawaida, Kinachotakiwa ni system kuwa fair na kuacha watu wote wafanye siasa kwa haki bila uonevu. SYSTEM HAIPASWI KUWA NA LOYALTY KWA CHAMA FULANI, BALI IVIACHE VICHUANE NA ANAYESHINDA APEWE SAPOTI BILA KUHUJUMU WENGINE
Hakuna ubaya niliosema. Raisi ametenda wema kumsalimia Mheshimiwa Mbowe na Mbowe ametenda wema kumpokea. Hayo ni maoni yangu binafsi kwa ajili ya watu wanaolipa baya kwa baya kwamba si vyema..Nani amefanyiwa ubaya?
Ubaya upi