Ndio iliyobaki.Wajinyonge tu
Unatangaza ushoga wako kwa kutembea na picha lako ukiliwa kila sehemu.Tatizo wote humu jukwaani wanakujua kuwa wewe ni batamzinga kitambo na picha hii ilikuwa kwenye kampeni za 2015.View attachment 1167309
Visingizio kibao
Etwege siku za nyuma alikuwa anapambaika balaa kumbe alitokelezea vilivyoTatizo wote humu jukwaani wanakujua kuwa wewe ni batamzinga kitambo na picha hii ilikuwa kwenye kampeni za 2015.View attachment 1167309
Aliye na afya hahitaji daktari.Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.
Source :millard ayo.
My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Wewe ndiye Elitwege hapa na Uzi wako wa kilumumba. Kuruka ruka siyo dawa ya ulimbo. Hii picha itupie bila maelezo humu halafu wana jamvi watoe maelezo watakutaja mwenyewe kwani kipindi kile cha kampeni ulikuwa unaitupia humu ukijua baada ya uchaguzi utateuliwa kwa kigezo cha uanaharakati kukipigania chama.Unatangaza ushoga wako kwa kutembea na picha lako ukiliwa kila sehemu.
Humu hawatumii kinyeo chako peleka Ufipa.
Ukiwapi nawewe nikupige 😁 😁 ... wazungu walishatumaliza na biblia yaoWaoombeeni adui zenu ,Mtu akikupiga Shavu la Kuume Mgeuzie la kushoto pia.
Hakuna lisilowezekana mkuu, mara nyingi macho yetu huona kile kilicho mbele lakini mambo mengi zaidi ya hayo. Kwani unafahamu kipindi bustani inaanzishwa.Kwa hiyo ile Ile hasara ya mabilioni aliyopata kuharibiwa shamba lake na kuvunjiwa Bilcanas watu wa system wanamrudishia kwa mlango wa nyuma? Basi Tanzania tuna siasa za kipumbavu kuwahi kutokea duniani.
RubbishMara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.
Source :millard ayo.
My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Acha kujifungia kwenye blanket la ujinga ndugu yanguMbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Nikwambie kitu, endelea kuamini unachoamini na mimi nibaki na ninachokifahamu,siyo salama kuendeleza huu mjadala.Hakuna lisilowezekana mkuu, mara nyingi macho yetu huona kile kilicho mbele lakini mambo mengi zaidi ya hayo. Kwani unafahamu kipindi bustani inaanzishwa.
Mnateka nyara msiba kwa maslahi ya kisiasaPale unapomuweka ndani mtu miezi minne kinyume cha sheria, lakini akatoka hapo anakuombea dua njema
HIVI MMEONA JINSI MBOWE ALIVYO NA MOYO MKUBWA?