Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

wanapew baada ya kuikana CCM hadharani na kujiunga na CHADEMA as such wanapewa wanachadema na si wanaccm.
Be sensible a bit!!!!!!!!!!!
 

Political entrepreneur.
 
Acha hizo,
Lowassa Ni chaguo la vyama vinne (UKAWA)
Viti maalum waliochaguliwa walikuwa fisiem kwa kazi maalum
Usiyo yajua usiku WA giza
 
wanapew baada ya kuikana CCM hadharani na kujiunga na CHADEMA as such wanapewa wanachadema na si wanaccm.
Be sensible a bit!!!!!!!!!!!

Ohooo Lowasa aliteuliwa kugombea urais kabla hajahama ccm wala kuchukua kadi ya chadema.
Na alienda kutambulishwa kamati kuu ya chadema usiku kuwa ndo mgombea wao. Ushahidi wa Mshenga na Mbatia upo full wakiropoka mbele ya press.

Hayo ya zamani, je hili la wanaccm kupewa ubunge viti maalum chadema hulijui??
 
Acha hizo,
Lowassa Ni chaguo la vyama vinne (UKAWA)
Viti maalum waliochaguliwa walikuwa fisiem kwa kazi maalum
Usiyo yajua usiku WA giza

Wewe ndo akili fupi. Na ushajipiga. Umedai hao wana ccm walioteuliwa walikuwa huko ccm kwa kazi maalumu. Sasa ngoja tukufunulie "nyeti za kuku".

Kazi maalum=kuisaliti ccm

Wabunge viti maalum chadema= wasaliti.

Na wasaliti hao walikuwa wanawasaidia Mbowe na Lowassa kuisaliti ccm.

Sasa hapo nani ndo baba la wasaliti????
 
...ni shetwani mbaya sana. Muulize Zitto na Dr Slaa wanamjua alivyoshetanika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…