Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Hivi aliyemleta Chadema lowasa ni Nani. Nani aliyewashawishi kamati kuu Chadema kumpokea lowasa. Halafi unatakiwa kuelewa usaliti maana yake nini. Chadema ni taasisi na mbowe ni kiongozi tu. Kama kamati kuu ingemkataa lowasa wasinge mpitisha kwa kishindo kugomnea urais. Nadhani wakati mkutano Mkuu unampitisha lowasa ulishuhudia,
 
Majina kama ndumilakuwili na wanafki wakubwa yanawafaa sana UKAWA. Nakumbuka kauli moja ya Mbowe alipokuwa anamkashifu Lowassa alisema "Lowassa aingie ikulu; over my dead body". Lakini wala hajafa leo ni mzima tena bukheri wa afya na bado anamsupport mtu huyohuyo. Sasa kama sio unafki uliokubuhu huo ni nini.

Mkuu vipi,
Hivi diwani wa eneo lako ni manji?
 
alishinda na wabunge 35???? mnamdanganya nani??

Kwani nini kinashindikana?
Unapaswa kujua kuna majimbo mengi sana hila zilifanyika kuwanyima ushindi wagombea wa upinzani. Hata hawa 35 waliofanikiwa kutangazwa washindi ilikuwa ni patashika! Hujuma zilitawala kila kona!
 
Kwani nini kinashindikana?
Unapaswa kujua kuna majimbo mengi sana hila zilifanyika kuwanyima ushindi wagombea wa upinzani. Hata hawa 35 waliofanikiwa kutangazwa washindi ilikuwa ni patashika! Hujuma zilitawala kila kona!

Ndugu hayo mengi yaliyo fanyiwa hila ni mangapi?? Maana tunajua Chadema haikuweka wagombea majimbo yote 256 na hawajapata hata robo ya hayo waliyoweka wagombea
 
Labda aje kuwa mwanachama wa kawaida vinginevyo narudisha kadi.atasafishwaje huyu fisadi?hapo Zitto atawapigia bao.

Vipi kadi ulirudisha ndugu.
Mi kadi ilipoteaga ila bado ni UKAWA mwanzo mwisho.

Huyu Lowassa sisi wengine sijui aliturogaje yani tumejikuta tunamkubaliiii.
 
Last edited by a moderator:
Kwani nini kinashindikana?
Unapaswa kujua kuna majimbo mengi sana hila zilifanyika kuwanyima ushindi wagombea wa upinzani. Hata hawa 35 waliofanikiwa kutangazwa washindi ilikuwa ni patashika! Hujuma zilitawala kila kona!
12235135_1176983002316068_4967662071225999348_n.jpg
 
Mkuu umeibuka tena.

Teh teh teh
Kwani nilikuwa nimezama Ritz , ni majukumu tu yaliingiliana na wanga kuzidisha dose, ila nilikuwepo duniani nikiendeleza mapambano na changamoto mbalimbali! Ila nakushangaa kwa kushangaa CHADEMA kuwa na wabunge 35, Unapaswa kujua kuwa wezi wa CCM walijipanga kuiba kwa kila njia! Uchaguzi kutokuwa huru na haki, inamaanisha, kuwa kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge na Rais, haki ilichezewa!
 
Wewe ndo akili fupi. Na ushajipiga. Umedai hao wana ccm walioteuliwa walikuwa huko ccm kwa kazi maalumu. Sasa ngoja tukufunulie "nyeti za kuku".

Kazi maalum=kuisaliti ccm

Wabunge viti maalum chadema= wasaliti.

Na wasaliti hao walikuwa wanawasaidia Mbowe na Lowassa kuisaliti ccm.

Sasa hapo nani ndo baba la wasaliti????

unaweza kuta hao hao wakafanya kazi nyingine ya kuiua chadema wakiwa ndani sasa. tehe tehe.
 
MUSA ALLAN@ tuwe wakweli kwenye kata 90 % wamekubali kushindwa na ccm imeshinda kwa kishindo madiwani!tusijitoe akili Magufuli alimshinda Lowasa kihalali
 
Mwaka umeisha sasa tangu Dr. SLAA ameondoka CHADEMA baada ya ujio wa LOWASA kwenye chama hicho. Tupeni tathmini ya chama kwa huo muda ili tupate jibu nani alikuwa Asset na Liability kati ya Slaa na Lowasa.
 
Habari wadau!

Moderators please! Msiunganishe huu uzi kwani unajitegemea na haujataja jina la mtu.

Nianze kwa kusema,

Kwenye hii dunia yapo makosa yanayosameheka, na mengi ya makosa huisha pale tu yule alietenda kosa anapohaga dunia hivyo ndivyo ilivyo.

Ila kwa kosa walilofanya hawa watu la kuuza chama na kuiuza ajenda ya Ufisadi kwa mtu ambaye miaka yote alikua akijulikana fisadi papa na ushahidi tuliambiwa uliwepo wa kumtia hatiani yule fisadi papa.

Hakuna kitu chochote kilichoweza kubadilisha hali isipo kuwa ni KUHONGWA.

Mwenyekiti na Mwanasheria wote wamehongwa kwa mabilioni ya Pesa huku sisi chini tukihamasisha kukabiliana na vyombo vya dola.

Watu wamepoteza maisha kwa sababu ya chama,watu wanaulemavu wa kudumu kwa ajili ya kukipigania chama, watu wanatumikia vifungo kwenye magereza mbali mbali kwa lengo la kuleta ukombozi kwenye taifa

Then Jemedali mkuu na mwanasheria wake wanakaa kwenye meza wanajadilia biashara na kuuza matumaini ya watanzania kwa fisadi papa .

Hakika nyie wawili hamuwezi kusamehewa hata kidogo kwa dhambi ile mlioifanya.

Na hakika Lazima mufe vifo vya aibu

Kama malipo ya usaliti wenu kwa taifa na ajenda ya ufisadi

Na lazima makaburi yenu kuyacharaza bakora ili kuondoa laana ile isije kusambaa kwa vizazi vya uongozi ujao.
 
Back
Top Bottom