Rugaiyulula
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,524
- 1,705
wanapew baada ya kuikana CCM hadharani na kujiunga na CHADEMA as such wanapewa wanachadema na si wanaccm.
Be sensible a bit!!!!!!!!!!!
Be sensible a bit!!!!!!!!!!!
Nyie mafisadi kesi yenu ya uhalifu wa mitandao imeisha? Maana nasikia na wewe ni miongoni mwa vijana wa Lowasa mliokamatwa poleni kachungeni mbuzi monduli na mzee wenu.Very old Propaganda!
Chadema mlisema zito ni msaliti kwakuwa anawasiliana na viongozi wa ccm akiwa chadema.
Swali ni je mbowe tumuiteje?
Kwani yeye si tu kawasiliana na viongozi wa ccm na kuongea nao la hasha, kawapa nafasi za kugombea urais na ubunge na udiwani ndani ya chadema ikiwemo kuwateuwa katika nafasi za ubnge viti maalum kama vile hakuna wananchama wa chadema wenye uwezo huo.
Sasa mbowe tumuiteje? Msaliti, mzandiki, mfitini, mnafiki, mchawi?
Kwani alishindwa? Si hila tu zilifanyika kutomtangaza?Lowassa angeshinda, leo ungekuwa unamsujudia, pengine ungempa mpaka mke wako na watoto wako
wanapew baada ya kuikana CCM hadharani na kujiunga na CHADEMA as such wanapewa wanachadema na si wanaccm.
Be sensible a bit!!!!!!!!!!!
Acha hizo,
Lowassa Ni chaguo la vyama vinne (UKAWA)
Viti maalum waliochaguliwa walikuwa fisiem kwa kazi maalum
Usiyo yajua usiku WA giza
Kwani alishindwa? Si hila tu zilifanyika kutomtangaza?
Mkuu wangu kwa faida ya JF unaweza kutupa idadi ya kura alizipoata Lowassa kila jimbo?Kwani alishindwa? Si hila tu zilifanyika kutomtangaza?
Mkuu unanipasua mbavu rais ana wabunge 35 daah!!alishinda na wabunge 35???? mnamdanganya nani??
kuna kushinda na kutangazwa,unazungumzia kipi?Lowassa angeshinda, leo ungekuwa unamsujudia, pengine ungempa mpaka mke wako na watoto wako