unawachokoza watakuja na ujinga wao sahizi bado wanamalizia bia na kitimoto
Naona madrasa inatapika. Mwenzio kasema watu waende "makanisani na misikitini" wewe umeshakimbilia "bia na kitimoto". Chuki za dini za watu wengine hazitaboresha maisha yako. Ua mbegu ya udini ndani yako, nchi hii ni yetu sote.