Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Habari wadau!

Moderators please! Msiunganishe huu uzi kwani unajitegemea na haujataja jina la mtu.

Nianze kwa kusema,

Kwenye hii dunia yapo makosa yanayosameheka, na mengi ya makosa huisha pale tu yule alietenda kosa anapohaga dunia hivyo ndivyo ilivyo.

Ila kwa kosa walilofanya hawa watu la kuuza chama na kuiuza ajenda ya Ufisadi kwa mtu ambaye miaka yote alikua akijulikana fisadi papa na ushahidi tuliambiwa uliwepo wa kumtia hatiani yule fisadi papa.

Hakuna kitu chochote kilichoweza kubadilisha hali isipo kuwa ni KUHONGWA.

Mwenyekiti na Mwanasheria wote wamehongwa kwa mabilioni ya Pesa huku sisi chini tukihamasisha kukabiliana na vyombo vya dola.

Watu wamepoteza maisha kwa sababu ya chama,watu wanaulemavu wa kudumu kwa ajili ya kukipigania chama, watu wanatumikia vifungo kwenye magereza mbali mbali kwa lengo la kuleta ukombozi kwenye taifa

Then Jemedali mkuu na mwanasheria wake wanakaa kwenye meza wanajadilia biashara na kuuza matumaini ya watanzania kwa fisadi papa .

Hakika nyie wawili hamuwezi kusamehewa hata kidogo kwa dhambi ile mlioifanya.

Na hakika Lazima mufe vifo vya aibu

Kama malipo ya usaliti wenu kwa taifa na ajenda ya ufisadi

Na lazima makaburi yenu kuyacharaza bakora ili kuondoa laana ile isije kusambaa kwa vizazi vya uongozi ujao.

Nonsense
 
Tupe Chanzo cha Taarifa yako
Mod tafadhari kama hana chanzo Futa huu Uzi.
 
Mimi naomba niseme kuna hatari naiona kwa chama chetu kwa siku za usoni.

Propaganda hizi zinaweza pata nguvu na kushawishi watu kuziamini iwapo viongozi wetu wataanza kuwa "soft" katika misimamo yao tofauti na walivyokuwa siku za nyuma.

Hivi sasa inajengeka picha kuwa wapiganaji ndani ya chama wamekuwa ni watu wachache huku wengine wakionekana kutojishughulisha,wengine wakionekana kuwa softy na wengine ni kama hawapo kabisa.

Team work ni kama inapotea au inashuka na hali hiii inaweza kuwa chanzo cha kukatisha tamaa baadhi ya watu na kuzipa nguvu propanda hizi.

Something must be done now.
 
Naomba tujadili kwanza suala la hela za misaada kule Kagera kwenda kufanyia kazi isiyokusudiwa, hili la chama kuuzwa lishasemwa sana kama hujawahi kusikia majibu basi ungesoma thread za watu wengine humu jf.
 
Mnahangaika hadi mnatia huruma!!!!

Fanyeni tathmini, hii makitu haiwaleteeni tija.

Ingekuwa heri mwenyekiti wenu angeenda bukoba hata asingeongea kitu ingesaidia kuliko mnavyogaragara kwenye matope namna hii.
 
Ukiwa ccm huwezi kujenga hoja. Utaishia, kuokoteza maneno ya kwenye vigiwe vya kahawa
 
KICHWA CHA HABARI KIMENIVUTIA, ILA MAELEZO YAKO NI MEPESI MNO. MFANO WEWE UNAO USHAHIDI WA UFISADI PAPA? JE WEWE UPO UPANDE UPI WA HOJA? TAKWIMU ZAKO ZA WALIO MAGEREZANI NA WALIOPATA ULEMAVU NI ZIPI? HAO WALIOHONGWA WALIHONGWAJE? NA KAMA MZALENDO UMESHAFAHAM KUNA HONGO IMEPITA UNACHUKUA HATUA GANI ILI NA WEWE USIIVAE ZAMBI YA USALITI? HEBU TUSAIDIE TUUNGANE KATIKA HILI.
 
First lady ameshatoka Muhimbili hospital na hali yake ni nzuri!
 
Tuko bize na kuandaa misibaa kwanza

OVA
Habari wadau!

Moderators please! Msiunganishe huu uzi kwani unajitegemea na haujataja jina la mtu.

Nianze kwa kusema,

Kwenye hii dunia yapo makosa yanayosameheka, na mengi ya makosa huisha pale tu yule alietenda kosa anapohaga dunia hivyo ndivyo ilivyo.

Ila kwa kosa walilofanya hawa watu la kuuza chama na kuiuza ajenda ya Ufisadi kwa mtu ambaye miaka yote alikua akijulikana fisadi papa na ushahidi tuliambiwa uliwepo wa kumtia hatiani yule fisadi papa.

Hakuna kitu chochote kilichoweza kubadilisha hali isipo kuwa ni KUHONGWA.

Mwenyekiti na Mwanasheria wote wamehongwa kwa mabilioni ya Pesa huku sisi chini tukihamasisha kukabiliana na vyombo vya dola.

Watu wamepoteza maisha kwa sababu ya chama,watu wanaulemavu wa kudumu kwa ajili ya kukipigania chama, watu wanatumikia vifungo kwenye magereza mbali mbali kwa lengo la kuleta ukombozi kwenye taifa

Then Jemedali mkuu na mwanasheria wake wanakaa kwenye meza wanajadilia biashara na kuuza matumaini ya watanzania kwa fisadi papa .

Hakika nyie wawili hamuwezi kusamehewa hata kidogo kwa dhambi ile mlioifanya.

Na hakika Lazima mufe vifo vya aibu

Kama malipo ya usaliti wenu kwa taifa na ajenda ya ufisadi

Na lazima makaburi yenu kuyacharaza bakora ili kuondoa laana ile isije kusambaa kwa vizazi vya uongozi ujao.
 
Kwani zile milioni kumi kwa kila Mbunge wa ccm umejua mwekiti wako kapata ngapi?
 
Mimi naomba niseme kuna hatari naiona kwa chama chetu kwa siku za usoni.

Propaganda hizi zinaweza pata nguvu na kushawishi watu kuziamini iwapo viongozi wetu wataanza kuwa "soft" katika misimamo yao tofauti na walivyokuwa siku za nyuma.
Acha ujinga kishina cha mshahara

, mimi na wewe wiki iliopita tulizungumza nini kuhusiana na chama?
Chama kimevamiwa, chama kimepoteza ajenda, chama lazima kirudi kwenye mstari.

Na Chanzo cha masahibu hayo yote ni kwa Pesa iliotumika kuwanunua watu waliokuo front line

Gia inabadilishwaje angani kama si kuhongwa huko tuseme kitu gani?
 
siasa ni mchezo mchafu kweli. wabunge juzi wamegawana mabulunguti dodoma. kiimyaa. lowasa aliitwa fisadi papa leo yuko upande wao kiiimya. wanasiasa mama yao ni mmoja tofauti yao ni baba tu.
 
Naomba tujadili kwanza suala la hela za misaada kule Kagera kwenda kufanyia kazi isiyokusudiwa, hili la chama kuuzwa lishasemwa sana kama hujawahi kusikia majibu basi ungesoma thread za watu wengine humu jf.
Anzisha uzi wako,
 
Back
Top Bottom