YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
Ukawa mnajidanganya kwa kujilisha upepo. MTU aliyekataliwa upande mwengine mnajiaminishaje kuwa anafaa upande wenu? Kwa misingi IPI? Name kwa itikadi zipi? Na akishindwa uchaguzi mtakuwa nae tayari kusimamia yale mnayoamini kama chama?
Mmekurupuka sana Ila November 2015 mwisho wenu.
Sahau lowasa kuwa raids wa Tz
Ndugu yangu unavyoongea ni kama mtu uliye ndani ya chupa na ukafungiwa huko.Jiulize kwanini Lipumba ameondoka ghafla bila hata ya kuaga?Hujiulizi kesi yake imekwisha lini au imeshafutwa?Kaondoka na ndege gani?
Kwa sasa VIJANA wameshaichoka sana CCM ,kiasi kwamba wako tayari kumpigia hata SHETANI kama ataiondoa CHICHIEM madarakani!!!!!!!!Ukishaona hivyo ujue hata Lipumba alijua kitakachomkuta endapo ataendeleakukaa bongo..
Kama Mbowe ni fisadi tueletee evidnce na facts!!!!!11Halafu utuambie na Nape aliyehongo ili kupita kwenye kura za maoni za CCM anatofauti gani na huyu mnayemnanga kila siku eti MROHO wa MADARAKA?Sasa kama Lowassa ananunua MADARAKA na NAPE amefanya nini?
Ukitaka kutoa Kibanzi kwenye jicho la mwenzako,basi toa kwanza boriti kwenye jicho lako.Na ndivyo ilivyo CCM ilitakakuona UCHAFU wa UKAWA basi ianze kusafisha UCHAFU wake ambao nina uhakika hawawezi kufanya
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
skendo ya buzwagi iliipaisha sana chadema, kipindi cha zitto hicho. baada ya zitto kusimamishwa bunge kwa muda walizunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wananchi kuhusu skendo ya buzwagi.
uhusika wa kalamagi na waziri mkuu lowasa ulielezwa vizuri bungeni na mikutanoni. kalamagi alibeba mihuri ya serikali kwenye briefcase akaenda saini mkataba kwa niaba ya serikali hotelini London, waziri mkuu lowasa nae alijipelekea london akaweka kambi hoteli jirani na hotel aliyofikia kalamagi na wawekezaji hao. wao wajua vyema walichoongea/peana huko ila kalamagi alirudi na mkataba umeshafungwa. mbowe alilisema hili majukwaani nchi nzima.
waziri mkuu wamruhusu waziri wako atie mihuli kwa begi aende hotelini nje ya nchi kufunga mkataba kwa niaba ya serikali. haikutosha akajipeleka mwenyewe London - na kumbukumbu za ofisi ya waziri hazikuonesha kwamba waziri mkuu alienda london kiserikali, pia hakuwa likizo.
leo hii mbowe kabadilika anatuhubiria kwamba lowasa anayesaidiwa pesa na kalamagi ndiye tumaini jipya la watz, atatuvusha na kutufutia umaskini. aenda mbali zaidi na kusema hana kashfa yeyote.
mbowe adhani siye watz ni wasahaulifu sana, afikiri twamjua lowasa kwa richmond tu. twajua mengi mbowe.
kalamagi sasa ndo mfadhili mkubwa wa lowasa - ambaye ukawa watwambia akiingia ikulu atafuta ufisadi.
tutafakari zaidi watz wenzangu. kwa ufupi naweza sema anachokifanya mbowe ni unafiki,unafiki na unafiki.
CCM OYEEE, CCM OYEEE, Watanzania wanaimani kubwaaaa saaana na CCM. Wewe mwebdawazimu unayekumbatia mafisadi na kuwatakasa, endelea, nakweli uko tayari kumwabudu Shetani, na tayari Shetani mwenye manyoya meupe kichwani unamwabudu. "mtu anayeonekana anapenda sana Ikulu na yuko tayari kutumia fedha kununua kura ni wakuogopa kama UKOMA."
Nia ni kwenda Ikulu au kuongoza watu?
Na karamai si ndo anamiliki 30% ya hisa za buzwagi Na 35 za ticks
watanzania nendeni makanisani misikitini muombewe upate upeo wa kutambua hili linafaa hili halifai lowasa kishanunua chama chadema chake yeye na familia yake nyinyi mliokosa upeo wa kufikiri hamsikii ni bora kutokishabikia.