Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Wakati mwingne tuwe wakweli hizo 10 bilion ukiambiwa uto ushahidi utaweza au umeamua kuchafua hali ya hewa kwa faida ya chama chako.

Kwani nyie mlitoa ushahidi wakati Lowassa akiwa Ccm mlipokuwa mkimtuhumu anatumia mabilioni kusaka urais? Fankuuuro
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

ww unaonekana akili yako inaongozwa na Lizaboni inasikitisha kuona watu wanazungumzia mambo ambayo si verified hiz propaganda za kitoto namna hii nani anawafundisha? mmekuwa maskini wa vipato jaman umasikini umeingia mpaka ndani ya mwili sasa mmekuwa masikini wa akili pia
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingne tuwe wakweli hizo 10 bilion ukiambiwa uto ushahidi utaweza au umeamua kuchafua hali ya hewa kwa faida ya chama chako.
Yaani propaganda nyingine za magamba ni shidaaaaah..........................

Hata ukimueleza mtoto mdogo anayesoma chekechea 'fix' hizo atabaini kuwa hilo ni changa la macho.
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

mtaweweka sana,lazima mg'oke hata kwa bull dozer
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

mtaangaika sana mwaka uhu, magufuli ameshapotezwa,
 
Lowassa fisad hakuna ubish ila lazma ccm iachie madaraka kwa gharama yoyote ile tunataka serikali ya wananch sio ya chama
 
hivi magufuli leo si ndo anachukua form,maskini hadi lumumba buku 7 fc wamemsahau
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

we kiazi kama unamtamani edo nenda kaolewe nae pumbavu
 
Lowasa anatumia fedha za kifisadi alizotuibia wananchi. Ndo maana hazionei huruma

Sidhani hata kama unajua bilioni kumi ina sifuri ngapi...ebu tuandikie bilioni kumi kwa tarakimu...
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

Mngekuwa kweli mnauchungu na TAIFA lenu tungeona waziwazi mkipiga vita RUSHWA ilikithiri kwenye KURA za maoni zilizofanywa na CHAMA TAWALA.

Kama huko mngekuwa na uwezo hata wa kurusha neno ili tuweze kupata VIONGOZI bora waliopatikana kwa haki na si nguvu ya pesa.

Bahati mbaya nyie nanyi hamna tofauti na huyo mnayemnanga,mmepokea ngapi toka kwa MWENYEKITI wenu kuendelea kumsakama Lowassa mitandaoni?

Je,mmeshiriki kikamilifu kupiga vita rushwa huko kwenu,au ikifanyika CCM ni sawa ikifanyika kwa Lowassa ni dhambi?

Mwisho ningependa safafri hii mtuletee evidence na FACTS za hawa kupokea pesa toka kwa LOWASSA,vinginevyo tunaomba MODS mfanye HAKI kwa JF members wote msichague wapi wakuwapa BAN na wapi wakuendelea kuleta propoganda zisizojenga TAIFA.

Hizi propoganda za mabilioni kupewa watu,hivi huyu Lowassa anakisima cha pesa?Au Bank Kuu imehamia nyumbani kwake?

TataMadiba be a man,lete evidence,vingine declare ngapi na wewe umelipwa kumsakama Lowassa na zawadi yako iwe BAN ya mwaka mzima
 
Hii ishu ya bilioni 10 Na wengine wanasema 12, nadhani imeongelewa sana humu. Na wahenga uwa wana msemo wao makini usemao, "Lisemwalo Lipo Kama Halipo Linakuja"
Wakati muafaka wa kuwekeza kwenye muda Na kuona likitimia mda si mrefu. Mi nasikiliza na kuwasoma wote ila yaliyozungumzwa mengi yapo Na Kama hayapo basi jiandaeni kuyasikia.
Ukweli utakapokuwa hewani nadhani wapo watakaochukua maamuzi magumu Kama ya Dr Slaa.
Hiki Chama chaweza kufitinika chenyewe.
Waiting..........
 
Aisee bado watanzania tununuliwe sasa. Lowassa katumia bil.10 kumnunua MBOWE kuingia CHADEMA, sasa kuna taarifa kuwa DUNI HAJI amenunuliwa kwa mil.550 ili akubali kujiunga na CHADEMA ili ateuliwe kuwa mgombea mwenza wa LOWASSA. Hiyo haitoshi inasemeka mgogoro unaoendelea kule CUF unatokana na CHADEMA kumnunua Maalim Seif Sharif Hamad kwa ahadi ya kugaramia Kampeni za Uchaguzi kule Zanzibar, pesa zitakazotolewa na LOWASSA ili kukubali mgombea mwenza atoke CUF.

hamna rangi mtaacha ona safari hii mtakuja na kila aina ya propaganda,mmejisahau kila mwaka mnakuja na mbinu ileile kutoka kwa watu walewale maccm mkidhani kuwa ni watz ni walewale wajinga,
 
Katika watu waliojiacha utupu hapa JF siku za katibuni ni Lizaboni na TataMadiba kwa kuanzisha majungu na propaganda za kiwango cha chini sana. Nadhani ni kwa sababu Nape naye yuko busy na kugawa rushwa huko Mtama la sivyo angewafuta kwenye payroll yake ya Lumumba maana wamekuwa mzigo
 
Last edited by a moderator:
Sidhani hata kama unajua bilioni kumi ina sifuri ngapi...ebu tuandikie bilioni kumi kwa tarakimu...

Ninawasiwasi hawa wako kwa ajili ya kumnanga tu Lowassa hawana lolote,watuambie nani wamewalipa kwa kutoa kashfa zisizoweza kuthibitishwa.
 
Shut up..!!!!! kama hutujui ukweli.10billion is not a joke.tusubiri wakati wa Kampeni huenda tukapata ukweli kwa ushahidi.kwa nini tujengeane chuki ambazo mwisho wake huwa ugomvi.
 
Lizaboni nimeona umekosa kazi ya kufanya hunatumiwa kueneza ujinga hayo pesa nani amekwambia kwamba ametoa
 
Back
Top Bottom