mtasema mengi sana. lakini mbivu na mbivu na mbivu zitajulikana oktoba. ccm iondoke kwanza,mengine baadae...
Napata sheeda kuelewa mpaka sasa sijawahi ona duniani mtu akahama chama usiku afu hajui misingi ya chama na asubuhi asubuhi anaaminiwa kugombea wadhifa mkubwa ndani ya chama? Hii imani imetoka wapi na tangu lini? Watz tufanye tathmini na si ushabiki usiokuwa na tija...Amekidhalilisha Chama Na UKAWA.Kwa Falsafa Yake Mbovu Ya Kutegemea Makapi Ya CCM Yamsaidie Kumpeleka Ikulu.
Mbowe Anamjua Sana Lowassa Kama Ni Kiongozi Bora Kuliko CCM Iliyomlea Kwa Zaidi Ya Miaka40.
Hawaeleze Watanzania Kua Amekubali Kununuliwa Kwa Gharama Ipi Na Nani Atailipa.Pesa Ya Mafisadi Walioitumia Kuwekeza Kwake Uwa Haipotei Bure.
Enheee hiyo list ya mafisadi papa itaja hapa we ndorrrrrrooobbbooMhe.Mbowe Jiandae Kuwajibika Katika Hili Kwa Watanzania.
Mpasuko Unaoendelea Sasa Katika UKAWA Ni Matunda Ya Maamuzi Yako Mabovu Yaliyokosa Ridhaa Ya Pamoja Ya Viongozi Wenzako.Maamuzi Yako Yaliyokua Na Lengo La Kuwaburuza Viongozi Wenzio Kifikra Na Kimaamuzi.Na Maamuzi Yako Yaliyofishwa Na Tamaa Yako Ya Uroho Wa Madaraka Na Kukubali Kununuliwa.
Kitendo Cha Kumkaribisha Fisadi Papa No.1 Mhe.Lowassa Ndani Ya UKAWA Na Kupewa Nafasi Ya Kuteuliwa Kama Mgombea Uraisi Bila Ya Maridhiano Thabiti Kutoka Kwa Viongozi Wenzio.Kumekufanya Wewe Uwe Fisadi Papa No.11(Haukuwepo Kwenye Listi Ya Awali Ila Sasa Upo).Na Watanzania Wanatakiwa Kukuogopa Kama Ukoma.Kwa Kuweka Maslahi Yako Mbele Kuliko Maslahi Ya Taifa.
Kama Bado Unaamini Kua Kuondoka Kwa Dr.Slaa Na Prof.Lipumba Ndani Ya UKAWA Hakuna Madhara Yeyote kwa UKAWA.Basi Ukae Ukijua Kua Uko Ni Kujidanganya Na Kujilisha Upepo.
Malipo Ya Usaliti Huu Kwa Viongozi Wenzio
Yatakua Ni Kuanguka Kwako Mwezi October Na Kuporomoka Kwako Kisiasa.Na Ujiandae Kwa Aibu Kubwa
Mhe.Mbowe Jiandae Kuwajibika Katika Hili Kwa Watanzania.

At least wewe umesema ninayoyafikiria.
Mbowe kauza Chama, hafai kabisa huyu jamaa.
Kila mtu ana mtizamo na mawazo yake kwa kadiri ya upeo wake wa kuyaona mambo mbalimbali... yawezekana upeo wako pia ni mdogo kwa mtizamo wako km angeliuona uzi wako... muda wa kuwa bendera fata upepo uishe na baadala yake tuwaze kwanini haya mambo yanatokea baadala ya kukaa na kuwatuhumu watu.... Swali rahisi la kujiuliza ni kuwa kama Prof Lipumba ni mwanzilishi na mbunifu wa jina la UKAWA katoka.... tatizo ni nini?Mwanzoni nilidhani JF ni Real Home of Great Thinkers.....Kumbe kila mtu anaweza kukaa chini na kuandika anachojisikia akijitahidi kusambaza chuki za kufikirika na kuacha kufikiri kwa kina na kukitetea anachokipenda hata kama ni kibovu. Leo asubuhi pia nimemsikiliza somebody Bana nadhani ni prof huyu ila nae amemezwa huko huko.
Natarajia wasomi wawe msaada na kuchambua mada kwa hoja na utafiti ila vimebakia vioja na ushabiki
Pole Mama Tanzania, Pole JF
Mbowe ametuuza kwa vipande vya shekeli kwa tamaa ya madaraka. Hafai kabisa kiongozi wa namna hii Kama kuitafuta ikulu kaitafuta kwa fedha akiingia si watamaliza kila kitu hawa.
Najaribu kutazama jinsi kenyata na ruto walivyoandamwa na kashfa kibao za matukio ya mauaji ya mwaka 2007
baadae namuangalia kenyata na kashfa yake na baba yake kwa kuwanyang'anya wakenya wengi ardhi huko kikuyu highland lakini sasa ndiye raisi
pamoja na kuwa na kashfa kibao namuona kama rais pekee aliyeipeleka puta kenya katika maendeleo zaidi ya marais wote waliotangulia huku uchumi wao ukikua maradufu
kwa mantiki ndogo kama hiyo niko radhi lowasa aingie madarakani hata kama ni fisadi ili
1) kuondoa utawala wa ccm madarakani na kisiwepo chama kinachoamini kuwa kitatawala milele kama ccm wanavyodhani
2) kubadilisha uongozi wa nchi utaifanya hata ukawa itakayoingia madarakani itende mambo kwa umakini huku ikijua baada ya miaka mitano inaweza ondolewa madarakani
nb: Nataka asiwepo mtawala wa milele kama ccm na Lizaibon wanavyoamini kuwa wao hawawezi kuanguka na hilo litafanya kila atakayepewa madaraka kufanya mambo kwa uhakika huku akijua akilegalega miaka mitano inayofata ataondolewa
kura yangu ni ukawa
- bY kalichumbage
kalichumbage
Wewe ndio unasema ila bibi yako kule kijijini hajui hayo mambo tena bado anajua kikwete anachaguliwa tena...na wewe kwa sababu ya iyo android yako bila hivyo pia ungekua CCM kama unabisha mpigie simu bibi muulize kula unampa nani uje useme hapa peupe...hamna wa kuitoa CCM kwa kuunga unga huku hata mie siwapi kura yangu hao wa kuunga unga...
hata hivyo ni kwamba Mpaka sasa CCM imeendelea kutengeneza miswada ambayo itaihakikishia kuwa Chama cha Siasa Cha Kutawala MAisha.!! Kwa Taarifa YAko;...CCM Haina mpango wa kung"atuka Madarakani ili kuachia vyama vingine viongoze. Inatumia mabilioni kutekeleza azma hiyo. Inatunga hadi miswada mibovubovu bungeni, hatuna tume huru ya uchaguzi, inatumia jeshi kupiga wananchi, waandishi wa habari, na Kuua Upinzani, .. Ni kama hujaitazama CCm vizuri. Ifanyie tathmini Upya.Hili la Kenya hulijui ni bora kujinyamazia tuu! Sasa hivi Kenya unajua kuna mjadala wa kuondoa ukomo wa Urais ili Kenyata awe rais wa Maisha kama Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda!!! Kibaki kajenga uchumi Kenya, Kenyata keshafanya nini?? Usilolijua ni kama usiku wa giza!!
haa haa eti dini una dini wewe? hizo za kuletewa na wageni...
hata hivyo ni kwamba Mpaka sasa CCM imeendelea kutengeneza miswada ambayo itaihakikishia kuwa Chama cha Siasa Cha Kutawala MAisha.!! Kwa Taarifa YAko;...CCM Haina mpango wa kung"atuka Madarakani ili kuachia vyama vingine viongoze. Inatumia mabilioni kutekeleza azma hiyo. Inatunga hadi miswada mibovubovu bungeni ,Hata takrima iliwekwa ili wafikie lengo.. Ni kama hujaitazama CCm vizuri. Ifanyie tathmini Upya.
UkAWA ndiyo sera Lowasa anaenda kuitekeleza achukuapo ofisi. Ili kutupatia katiba ya wananchi itakayoleta demokrasia ya ushindani. CCM hawajaweza kutupa katiba hiyo na hawataweza, cause hawana mpango huo wala dhamira hiyo hawana.Tumekua taifa la Hofu, Tanzania Bila CCM inawezekana
Napata sheeda kuelewa mpaka sasa sijawahi ona duniani mtu akahama chama usiku afu hajui misingi ya chama na asubuhi asubuhi anaaminiwa kugombea wadhifa mkubwa ndani ya chama? Hii imani imetoka wapi na tangu lini? Watz tufanye tathmini na si ushabiki usiokuwa na tija...
Mhe.Mbowe Jiandae Kuwajibika Katika Hili Kwa Watanzania.
Mpasuko Unaoendelea Sasa Katika UKAWA Ni Matunda Ya Maamuzi Yako Mabovu Yaliyokosa Ridhaa Ya Pamoja Ya Viongozi Wenzako.Maamuzi Yako Yaliyokua Na Lengo La Kuwaburuza Viongozi Wenzio Kifikra Na Kimaamuzi.Na Maamuzi Yako Yaliyofishwa Na Tamaa Yako Ya Uroho Wa Madaraka Na Kukubali Kununuliwa.
Kitendo Cha Kumkaribisha Fisadi Papa No.1 Mhe.Lowassa Ndani Ya UKAWA Na Kupewa Nafasi Ya Kuteuliwa Kama Mgombea Uraisi Bila Ya Maridhiano Thabiti Kutoka Kwa Viongozi Wenzio.Kumekufanya Wewe Uwe Fisadi Papa No.11(Haukuwepo Kwenye Listi Ya Awali Ila Sasa Upo).Na Watanzania Wanatakiwa Kukuogopa Kama Ukoma.Kwa Kuweka Maslahi Yako Mbele Kuliko Maslahi Ya Taifa.
Kama Bado Unaamini Kua Kuondoka Kwa Dr.Slaa Na Prof.Lipumba Ndani Ya UKAWA Hakuna Madhara Yeyote kwa UKAWA.Basi Ukae Ukijua Kua Uko Ni Kujidanganya Na Kujilisha Upepo.
Malipo Ya Usaliti Huu Kwa Viongozi Wenzio
Yatakua Ni Kuanguka Kwako Mwezi October Na Kuporomoka Kwako Kisiasa.Na Ujiandae Kwa Aibu Kubwa
unalala sebuleni ,unaishi kwa shemeji yako,unakula mlo mmoja,hujui kesho utakula nini,wanao wanakkaa chini darasani,kumuona daktari elf 5 hospitali ya serikali,mwanao amemaliza degree anosha vyombo nyumbani,daladala unapanda huku unanusa vikwapa vya watu hakuna pa kupumulia,unalala chumba kimoja na wanao,unalima unakosa pa kuuza,umejenga nyumba kwenye kiwanja cha kata hapa na simamama pale,halafu bado unaipenda CCM iendelee kukuongoza lazima tukupime akili yako