Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mwanzoni nilidhani JF ni Real Home of Great Thinkers.....Kumbe kila mtu anaweza kukaa chini na kuandika anachojisikia akijitahidi kusambaza chuki za kufikirika na kuacha kufikiri kwa kina na kukitetea anachokipenda hata kama ni kibovu. Leo asubuhi pia nimemsikiliza somebody Bana nadhani ni prof huyu ila nae amemezwa huko huko.

Natarajia wasomi wawe msaada na kuchambua mada kwa hoja na utafiti ila vimebakia vioja na ushabiki

Pole Mama Tanzania, Pole JF
 
Atabaki kuwa mtumishi wa shetani, haiwezekani uende mbinguni kwa kumchukua kuhadi Wa ibirisi eti akirudi kwako ndo atakuwa msafi, wewe ni nani kakupa mamlaka ya kusafisha watu na kuendesha sala za toba? asizifanye dini zetu mchezo Wa kujgiza kama upuuzi wake huo ..dini yangu ni maisha yangu na ndo uhusika Wangu na Mungu na suala la kusema vyama vya siasa ni saw a na dini ni ushetani mkubwa ..Mbowe akumbuke Mungu hadhiakiwi
 
haa haa eti dini una dini wewe? hizo za kuletewa na wageni...
 
kuna mijitu humu ikiona mbowe au ukawa inakosolewa haitaki kabisa kusikia.
kumbe ndo tabia mbovu zinawaharibia
 
Amekidhalilisha Chama Na UKAWA.Kwa Falsafa Yake Mbovu Ya Kutegemea Makapi Ya CCM Yamsaidie Kumpeleka Ikulu.
Mbowe Anamjua Sana Lowassa Kama Ni Kiongozi Bora Kuliko CCM Iliyomlea Kwa Zaidi Ya Miaka40.

Hawaeleze Watanzania Kua Amekubali Kununuliwa Kwa Gharama Ipi Na Nani Atailipa.Pesa Ya Mafisadi Walioitumia Kuwekeza Kwake Uwa Haipotei Bure.

Utaweweseka sana kwa kulilia makombo yaliyobakishwa na wakubwa,ila ukweli unabakia kuwa lowasa ndiye rais wa JMT
 
Amekidhalilisha Chama Na UKAWA.Kwa Falsafa Yake Mbovu Ya Kutegemea Makapi Ya CCM Yamsaidie Kumpeleka Ikulu.
Mbowe Anamjua Sana Lowassa Kama Ni Kiongozi Bora Kuliko CCM Iliyomlea Kwa Zaidi Ya Miaka40.

Hawaeleze Watanzania Kua Amekubali Kununuliwa Kwa Gharama Ipi Na Nani Atailipa.Pesa Ya Mafisadi Walioitumia Kuwekeza Kwake Uwa Haipotei Bure.

Mnashindwa kumnadi makomeo wenu badala yake mnamfanyia promo lowasa,amakweli ccm ni lakuvunda
 
Nililiona hili pale alipotoka ZZK...watu wakafichwa wasijue katoka kwa nn na kesi juu...anaepinga muulize ZZK alishtakiwa kwa nn kama atakupa jibu humu...ukweli alihoji matumizi mabaya ya pesa kivipi watu waseme wanaenda kustawisha chama uingereza ingali wanakula raha Dubai...wakamtimua na kesi juu...sasa leo kakiuza chama kabisa na nyie mnaopiga kelele endeleeni tuu mtaona ukweli wa haya maneno baadae...amkeni Watz wenzenu wanapiga fedha nyie kelele na mapovu yanawatoka na umaskini wenu...Prof ana akili ndio maana kawa Prof....

Kwa taarifa yako kampeni haifanyiwi kupitia jf,member wa jf ni wachache sana alafu 85% yao ni cdm na ujue pia wapiga kura wengi hawana mpango na jf.
 
Mnashindwa kumnadi makomeo wenu badala yake mnamfanyia promo lowasa,amakweli ccm ni lakuvunda

Hawa hawana hela ya kumnunua Mbowe na Mamvi ndo maana wanaishia kutukana tu! i pinzani wa kweli kwa nchi hii utaletwa na watu wasioweza kuhongwa yaani waliotosheka! Waliamini kwamba fedha ndo itaua ukawa, Mbowe kawawekea Mamvi ambaye yeye anauwezo wa kuwanunua wanaccm kibao!
 
Hueleweki mtoa mada,tulia andika Uzi wako vizuri ndio uje hapa!kwenye list of shame,No 11 ni Jakaya Mrisho Kikwete,sasa wewe unasema mbowe in no 11,kivp?Halafu unasema mbowe ni mroho was madaraka,kwani yeye ndiye anayegombea?Umevurugwa wewe,mbowe Mara ya mwisho kugombea urais no mwaka 2005!
 
* Kama unahisi ni pigo, wewe CCM kwanini usifurahie? maana kama kuna mtikisiko CCM ndiyo itashinda vizuri, cha ajabu wewe CCM ndiye unayehangaika kuwaonea huruma UKAWA kuliko hata wana UKAWA wenyewe....

* 'Ishara ya kutoaminika' umetoa wapi? Umefanya utafiti gani kupata hitimisho lako? Sampe distribution yako ikoje? Margin of error ni ngapi? Umetumia mda gani kufanya utafiti huo?

Mkuu hilo ni gamba lipo kazini kupigania buku 7 za lumumba
 
Hii tabia ya kutuambia mengine itajulikana baadae hatutaki kuisikia kabisa nyie nyumbu.kila kitu kiwekwe hadharani hapa lowassa na genge lake wakishaingia ikulu hatutakuwa na uwezo wa kubadilisha lolote ataitafuna nchi anavyotaka. Hongera kwa uchambuzi makini.
 
Mbowe ametuuza kwa vipande vya shekeli kwa tamaa ya madaraka. Hafai kabisa kiongozi wa namna hii Kama kuitafuta ikulu kaitafuta kwa fedha akiingia si watamaliza kila kitu hawa.
 
Hawa hawana hela ya kumnunua Mbowe na Mamvi ndo maana wanaishia kutukana tu! i pinzani wa kweli kwa nchi hii utaletwa na watu wasioweza kuhongwa yaani waliotosheka! Waliamini kwamba fedha ndo itaua ukawa, Mbowe kawawekea Mamvi ambaye yeye anauwezo wa kuwanunua wanaccm kibao!

Kweli mkuu ndio maana maccm sasa hivi yana haha ile mbaya,yanashajua kuwa muda wao wa kupekekwa the Hague unatimia
 
Mtoa mada ni ccm. Haya tuambie nani msafi ccm???. Acheni waingie na wao tuone ufisadi. KWA sasa mbowe hakua serikalini km waziri so stop. Jitazame ww na kura za maoni.

Mkuu ulishawahi kusikia mwizi anajisifia?hiyo ndio tabia ya ma ccm
 
Back
Top Bottom