Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Nilijuwa toka 2005 tanzania Kulikuwa akuna upinzani wakweli. Na mwaka huu ukweli umetimia
 
Najaribu kutazama jinsi kenyata na ruto walivyoandamwa na kashfa kibao za matukio ya mauaji ya mwaka 2007

baadae namuangalia kenyata na kashfa yake na baba yake kwa kuwanyang'anya wakenya wengi ardhi huko kikuyu highland lakini sasa ndiye raisi

pamoja na kuwa na kashfa kibao namuona kama rais pekee aliyeipeleka puta kenya katika maendeleo zaidi ya marais wote waliotangulia huku uchumi wao ukikua maradufu

kwa mantiki ndogo kama hiyo niko radhi lowasa aingie madarakani hata kama ni fisadi ili

1) kuondoa utawala wa ccm madarakani na kisiwepo chama kinachoamini kuwa kitatawala milele kama ccm wanavyodhani

2) kubadilisha uongozi wa nchi utaifanya hata ukawa itakayoingia madarakani itende mambo kwa umakini huku ikijua baada ya miaka mitano inaweza ondolewa madarakani


nb: Nataka asiwepo mtawala wa milele kama ccm na Lizaibon wanavyoamini kuwa wao hawawezi kuanguka na hilo litafanya kila atakayepewa madaraka kufanya mambo kwa uhakika huku akijua akilegalega miaka mitano inayofata ataondolewa


kura yangu ni ukawa




kalichumbage
 

Mpelekeni mahakamani
 
Wilbroad na Ibrahim ni Mashujaa wa Taifa hili. UKAWA laana ya kuwasliti watanzania imeshaanza kuwatafuna na itawamaliza.
 

Hongera sana kwa kutupatia mifano hai kabisa ingawa kwa wachumia tumbo wa Lumumba hawatakuelewa
 
Ukwa haina mpasuko wagangaa njaa ndo wanajiengua.wasio na bei wako imara.sipendi watu wanao hujumu demokrrasia
 
Nakushauri pitia uzi wa kura kati ya magufuri vs lowassa hupo humu utajua kuwa ukawa wana mvuto mbowe kafanya maamuzi sahihi
 
At least wewe umesema ninayoyafikiria.
Mbowe kauza Chama, hafai kabisa huyu jamaa.

Angalau ndoto yangu ya muda mrefu inakaribia kutimia. Sikuwahi kuwa muumini wa vyama kabisa zaidi ya kulazimika.
Ni hivi: kuiondoa CCM madaraka ndiyo objective namba moja, kwa kuwa CCM hawana uzoefu wa kuwa wapinzani wataharibu zaidi huko kwenye upinzani na hivi walishazoea kuendesha mambo yao kwa nguvu na support kubwa ya dola kwao kifo hakitakwepeka.
Wapinzani watakapoingia Ikulu badala ya kuanza kupiga kazi ili kutekeleza majukumu kama walivyojinasibu, wataanza kupingana wao kwa wao na kugombea nyadhifa hivyo kuzorotesha mambo hivyo wataishia kuparanganyika tu. Kufika hapo tutakua tumeshaua utawala , ukuu na utukufu wa vyama na kurudisha mamlaka ya wananchi kutafuta na kujitengenezea viongozi nje ya vyama. Hapo ndipo Tanzania itakua imekombolewa kwa uhakika toka kwenye mikono ya vigenge vya wachachache vijiitavyo vyama.
 
Sasa wewe una macho ya ubongo kweli wewe? Huyo mwenyekiti wenu na genge lake la walafi unawapa Title gani kama siyo hiyo ya kuganga njaa kali kwa kuhujumu mafanikio ya Upinzani? Kamanda Slaa alikikuta chama hicho cha kifamilia kikiwa hakina mbele wala nyuma. Amejitolea maisha yake kukijenga chama hicho akiamini waliokianzisha ni waadilifu. Sasa huyu mnamwita mganga njaa? Siyo bure mmelogwa.

Lakini na wewe Mzee wetu slaa kwa nini hukufanya background /profile check ya watu walioanzisha CHADEMA? Ujue ukisikia mtu aliwahi kuto aminiwa na Nyerere basi akianzisha jambo usilikurupukie. Usaliti hurithishwa vizazi na vizazi
 
Kila mtu atapiga kura moja. Kura ni siri ya mpigaji. Hata kama mpo buku pigieni anayewafaa
 
kitu kimoja nimegundua katika hili saga la Lowassa kuhamia Chadema, Mbowe ndiye mpinzani wa kweli Tanzania, na ccm wamemshindwa kabisaa, wamebaki kujamba jamba tu na mgombea wao mwenye kichwa kama tikiti maji, na mwenyekiti wao mwenye busha
 
Mkuu Slaa si mlikuwa mnamuita padri mzinifu? Vipi leo mnamsifia!!??
 
Mbowe ndio kiboko ya majambazi yote yanayowakilisha ccm
 
Mkuu umenena, hii mijambazi ya ccm lazima iondoke
 

Mbowe ametuuza kwa vipande vya shekeli kwa tamaa ya madaraka. Hafai kabisa kiongozi wa namna hii Kama kuitafuta ikulu kaitafuta kwa fedha akiingia si watamaliza kila kitu hawa.

Hulazimishwi kusikiliza, nenda kasikilize yanayokupendeza. Mnakasirika kisa nini? Tz ina vyama vya Siasa takribani 25, kwanini Kinyongo kwa Cdm na UKAWA? Lazima utakuwa na Utapia mlo kwenye Ubongo wako, otherwise JF huiwezi, sii ya Lower thinkers kama wewe na mtoa mada!

Ukiambiwa uthibitishe wewe kuuzwa unaweza? Aibu kweli, anyway, nyie ndio matokeo ya BRN, mna matatizo sana! Ambaye hana tamaa ya Madaraka akae pembeni Asigombee.Period! Huo msemo wa Tamaa ya madaraka unatumika kuwalisha sumu vilaza km wewe na wenzako, na kwakuwa huwa hamjiulizi mara mbilimbili, nanyi mnakuja hivyohivyo!
Pole sana!
 
Wilbroad na Ibrahim ni Mashujaa wa Taifa hili. UKAWA laana ya kuwasliti watanzania imeshaanza kuwatafuna na itawamaliza.

Mnamzungumzia Wilbroad yupi? Yule aliyesema watu wasimsemee atasema mwenyewe? Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…