Wanaotishia kuhama wote ni magamba na ni wapinzani wa lowassa.
Enzi ya siasa za kijinga Tanzania zimekwisha.
Kama lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani...mbona kubweka tu lowassa ni fisadi kama kambwa kenye mafua!
The monster has to go hell...that's matter.
Nyie bwekeni tu.
Mkuu tatizo ulilonalo ni kutokuelewa..unaijua operation delete ccm?..utai delete vp kama mawazo yenu ndo finyu namna hiyo..hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa..huyo mtu anaijua nje dani ccm..kama kweli tunataka tuwatoe ndo muda huu..ana mtaji wa wapiga kura zaidi ya milion 10..tukiunganisha na wetu!..tuliza kichwa uwaze vzr..lbd uwe sio mpinzani halisi! Asubuhi njema!

Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?
Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.
Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.
Unawasiwasi gani kamtaja Lowassa soma Tanzania Daima au Raia Tanzania au sikiliza kipindi cha Kupaka rangi Magic FM kinaendelea.
Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?
Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.
Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.
Leo ajabu wana CCM ndio wanaoongoza kusema wanahama Chadema.Hata mimi lazima tupishane na Lowasa anaingia mimi natoka siwezi kukaa chama kimoja na fisadi.
Nitawashawishi wanachadema wengine kuondoka kwani tayari chama kitakuwa kimevamiwa.
Swali ni kwamba aliwakaribisha kila mtu ?
Au alitaaja kabisa "Lowasa "karibu CDM???
Umenena bro!!! manake hawa jamaa wamegeuka ukahawa badala ya ukawa!!Tuweke ushabiki na unazi pembeni. Kama Lowassa atapokelewa CHADEMA, story ya ''CCM ni chama cha mafisadi'' itazikwa rasmi na kimsingi CCM itarudisha hilo dongo kwa CHADEMA wakati wa uchaguzi na kushinda kiulaini.