aupa
Member
- Jul 29, 2015
- 47
- 9
Inasikitisha sana pale mtu unapoamua kutoa taarifa za uongo na zilizojaa chuki bila kuwa na uhakika wa unachokiwasilisha kwa umma.PCCB wanafanya kazi 24 hrs kwa hiyo km unao ushahidi juu ya MBOWE na group lake kupewa hela na Lowassa, ebu fanya jambo la kishujaa ambalo litasababisha history ikukumbuke kizazi na kizazi.
Mbowe kakiuza Chama na pesa kaweka kwenye akaunti yake. Kachukua kiasi kidogo kuwaziba midomo viherehere kama Lema 120 million, Msigwa 135 million, Lissu na Mwalimu 180 million @. Ushahidi upo ngoja kampeni zianze
Last edited by a moderator: