Hakuna siku ambayo itanifanya niichukie chadema nikiwa miongoni mwa wanachadema wazalendo kama Siku nitakayosikia Kuwa bwana Lowassa ni mwanachama mwandamizi wa chama chetu kinachojipambanua kwa kupinga ufisadi kama chama kitampokea lowassa Mimi lasmi nitaachana na siasa kwa sababu chama kitakuwa kimekiuka itikadi na falsafa yake na hilo ndilo litakuwa kaburi la chadema, tutafakari pamoja swala hili wana jukwaa.
Maadili gani Sisiem Wanayo... Kwanza Hakuna Demokrasi Ndani ya CCM: Demokrasi ni Kwa ajiri ya Watu na ni ya Watu Wenyewe. Sasa
Kama KITENGO Kinapoka Maamuzi ya wengi halafu Unahita Maadili. Poleni Sana Kwa Kuweka Personal interest rather than Party Interest.
Naamini Kuna Wagombea Wengi tu Hawakufurahiswa na Jins KITENGO Kiliwafanya. Eti Kamati ya Maadili .
Pole kwa kuburuzwa mkuu!!
Ninachokiona ni ule usemi usemao adui muombee njaa, Siamini kama Kuna kipenzi cha chadema ambaye anamhitaji lowasa kuhamia chadema wanachadema wanachotaka ni lowasa awavuruge Ccm ili hstimaye kura Za Ccm zigawanyike na kurahisisha ushindi wa chadema au ukawa ikiwa watasimamisha mgombea mmoja. Nawasilisha.
Tatizo la Watanzania tunaitikiaitikia tu kila wimbo wanaouimba watawala !Leo wanatuaminisha kuwa lowassa ni fisadi, cha kushangaza hawampeleki mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.Ninaamini wimbo huu wa ufisadi umewalenga wale wote wasiopendwa na watawala. Mbona walioiba pesa za escrow wakachukua pesa kupitia benki ya stanbic hawatajwi?Watawala wasitufanye sisi ni wajinga.
Mimi sioni ubaya wa Lowasa kuamia Chadema ...
Kama atafata taratibu za Chama basi nakukaribisha Tena kwa mikono miwili..
Tatizo sio Lowasa tatizo ni Ccm..
Hata Kikwete akikubalia na taratibu za chama tunamkaribisha Chadema
Hiyo ndiyo siasa
Ccm ndio inaendelea kukata roho taratibu na kuungana na kina KANU,na upc
Kweli mkuu ukifuatilia hapa jf,wameibuka wana cdm fake kweli kujifanya eti hawamtaki kumbe ni mapandikizi ya ccm,wana hofu kubwa sana
Kwaiyo kwakua Ccm wamemtaja makomeo basis na UKAWA wamtaje sio...!!??mmeongea mengi sana maneno matupu hayavunji mfupa, huyo ni mgombea wao leteni mgombea wenu. UKAWA wamefanya kosa kubwa sana kutokumtaja mgombea wao mpaka sasa na kuwapa CCM nafasi kubwa ya kumtambulisha na kufanya kampeni kabla ya wakati, ni maoni yangu kwamba kwa nafasi hii UKAWA wasubiri 2020
Tutakuwepo kwa miaka mingine 53, kwanza mpaka sasa nyie si washindani.Unaburuzwa wewe,miaka 53 ya uhuru bado mmeng'ang'ania madaraka wakati wananchi wanaendelea kuishi maisha ya dhiki hata mlo wa siku unawashinda
Tutakuwepo kwa miaka mingine 53, kwanza mpaka sasa nyie si washindani.
Hamna hata jina la rais wenu mtarajiwa, siye Magufuli tuna uhakika wa kushinda tena.
Tutakuwepo kwa miaka mingine 53, kwanza mpaka sasa nyie si washindani.
Hamna hata jina la rais wenu mtarajiwa, siye Magufuli tuna uhakika wa kushinda tena.
Mpaka sasa UKAWA/CHADEMA ni kama kuku asiye na kichwa, hongera zaidi zikujie wewe mwenyewe binfasi kwa kutolitambua hilo.Hongera sana kwa kuendelea kuweweseka baada ya kucharazwa baada ya wana wa kanda ya ziwa kukataa kutumiwa na ccm
Mpaka sasa UKAWA/CHADEMA ni kama kuku asiye na kichwa, hongera zaidi zikujie wewe mwenyewe binfasi kwa kutolitambua hilo.
Jamani huyu mtu LOWASA ataongea lini tupumzike na hili jina tuanze mambo mengine......kila kona ni Lowasa, kila nyumba ni Lowasa, ukifika bar ni Lowasa, ukiingia ofcn ni Lowasa,nikienda kucheza draft kote ni Lowasa, nikiongea na mke wangu dakika tatu badae kamtaja Lowasa......duh!