MUNGU mwenyewe anasamehe dhambi tena zile kubwa kubwa ukikiri na kutubu wewe ni nani ambaye huwezi kusamehe? Taratibu,vigezo na masharti yakizingatiwa hakuna shida ili mradi lengo la kuuondoa huu mfumo mbovu wa CCM linatimia.
Ujue CCM wanafurahishwa sana wao wakiwa watawala daima na wengine wapinzani, ndio maana wanakebehi sana kila kitu.
Hakuna siku ambayo itanifanya niichukie chadema nikiwa miongoni mwa wachadema wazalendo kama Sikh nitakayosikia Kuwa bwana Lowassa no mwanacha mwandamizi wa chama chetu kinachojipambanua kwa kupinga ufisadi kama chama kitampokea lowassa Mimi lasmi nitaachana na siasa kwa sababu chama kitakuwa kimekiuka itikadi na falsafa yake na hilo ndilo litakuwa kaburi la chadema, tutafakari pamoja swala wanna jukwaa.
Lowasa katubu dhambi zake?
Nahama rasmi
Sasa if that is the case,zitto angesamehewa,lakini hapa wakubwa mmechemsha,hasa mwenyekiti anapotoa sababu dhaifu kabisa eti CHADEMA ni cha watu wote.
MUNGU mwenyewe anasamehe dhambi tena zile kubwa kubwa ukikiri na kutubu wewe ni nani ambaye huwezi kusamehe? Taratibu,vigezo na masharti yakizingatiwa hakuna shida ili mradi lengo la kuuondoa huu mfumo mbovu wa CCM linatimia.
Ujue CCM wanafurahishwa sana wao wakiwa watawala daima na wengine wapinzani, ndio maana wanakebehi sana kila kitu.
Sasa if that is the case,zitto angesamehewa,lakini hapa wakubwa mmechemsha,hasa mwenyekiti anapotoa sababu dhaifu kabisa eti CHADEMA ni cha watu wote.
Mkuu ccm na mawakala wao kwa sasa wanahangaika mitandaoni kujifanya ni wana cdm,eti hawamtaki lowasa ni ujinga mtupu
Walimdhamini watu karibu milioni moja badala ya 450 wakubwa wakaona tulimwita gamba yeye kanyamaza huyu. atatushughulikia wakamkata .
Sasa wamejaza debe zima kwa hofu kuwa zile kura milioni zinaondoka.. Yeye kimya vuvuzela kelele mitandaoni.
Kwani we nani tz hii
Hakuna kosa kwa lowasa kuhamia chadema kani haijaandikwa katika biblia au msaafu kuwa unapokua mwanachama wa chama fulani huwezi kuhamia chama kingine.
we ni nani kwenye chama kama wafalme wenu mbowe na slaa wanamkubali. chadema hakina falsafa ni ndumila kuwili tu