Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Ukwaju,signature yangu imekuingia vyema akilini.Haitakaa hata siku moja CCM iachane na wafanya biashara,wezi,wala rushwa,ufisadi ,madwa ya kulevya,majangili nk nk,mpaka pale wanachama wake watakapoamua kwa dhati sasa basi!!!!!!!!!!!!
Mimi ni upinzani toka umeanza,na wala silipingi wala sikatai,na wala sitaki kuhama chama ,chama changu ni CDM
sijakuelewa na Story yako ni ndefuuuu sana
kifupi CCM haina mafisadi na wote wanaokuja kwa gia ya biashara watatoka taratibu kipindi hiki cha miaka 10 ya Urais wa Magufuli

attachment.php
 
Unajua kama CHAMA CHA UPINZANI,unatakiwa ujifunze kutokana na CHAMA KIKONGWE,kwa kuangalia maovu yake na kwanini maovu yaliingia.

Uwongo ni kitu ambacho chama chochote kipya cha upinzani kinatakiwa kiachane nacho.Wabadilike,wasimamie ukweli,kwa sasa si enzi za kuwadanganya watanzania,na muda umefika kwa watanzania kudai ukweli.Chama ambacho kitaendelea kwenye uwongo kwa sasa hakitufai kabisa.

Leo uko upinzani ni muongo wa kutupwa kesho ukiwa mtawala utakuwaje?Upinzani wajifunze ukweli ndiyo utakao tuweka huru WATANZANIA.

Mkuu baada ya kuona hizo picha hapo juu ngoja nitoke kwa muda hapa JF kutafakari upya michango yangu!
 
sijakuelewa na Story yako ni ndefuuuu sana
kifupi CCM haina mafisadi na wote wanaokuja kwa gia ya biashara watatoka taratibu kipindi hiki cha miaka 10 ya Urais wa Magufuli

attachment.php

Usijidanganye UKWAJU.Wako hapo maisha,na wanajua bei ya Magufuli ndiyo maana wamemchagua.Hivi kama ameshindwa kupiga vita vya rushwa na ufisadi ataweza kwenye TAIFA?

Bado hujanidanganya.Na pole kwa kutonielewa.

Lakini daima TAIFA langu kwanza CHAMA BAADAYE.
 
Poleni wanaharakati wa mabadiliko kwa hili ndugu freeman mbowe mwenyekiti wa chadema taifa umechemsha na unawachanganya wafuasi wako chadema kilijipambanua kua chama cha kupinga ufisadi na rushwa pale mwembe yanga jina la lowasa lilitatwa kwenye orodha ya mafisadi umenukuliwa na gazeti la tanzania daima ukimwita lowasa dhaifu kwenye mikutano yenu mingi mwanasheria mkuu wa chma tundu lisu amekua akimtumia lowasa km mfano wa mafisadi dhana ya chama cha kupinga ufisadi umeizika rasmi baada ya kumkaribisha kubwa la maadui tena kwa maneno rais eti mwenyedhambi akitubu kwani chadema jumba laibada nlijua watamchukulia hatua kali zakisheria kwa hili mbowe umepoteza dira
 
Hahah Ukwaju mbona hii ni ya siku nyingi?
Tetty
Mkuu umenifurahisha sana kwani umeelewa Siasa hazina ugomvi na uelewe Lowassa na mbowe ni kitu kimoja hivyo mpokeeni kwa furaha zote kwani Fisadi anaweza kuwa kamanda wa CHADEMA kasoro hamjampa kipaumbele
11287804_864412910300324_960483897_n.jpg
 
Tetty
Mkuu umenifurahisha sana kwani umeelewa Siasa hazina ugomvi na uelewe Lowassa na mbowe ni kitu kimoja hivyo mpokeeni kwa furaha zote kwani Fisadi anaweza kuwa kamanda wa CHADEMA kasoro hamjampa kipaumbele
View attachment 270296

Naona unatamani kweli huyo mwizi wa mali za umma aje CDM.Naona Makomeo anamnong'oneza Mullu kama ahamie wiki ijayo pale white house.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.

Source: Tanzania Daima, Mwananchi

Kuna utata. Watu wa Kaskazini (Mbowe Gekul Mdee Nasari Lyimo) wanamkaribisha Lowassa kwa mikono miwilu wanamtosa Slaa. Huku Lissu Mnyika Shibuda Silinde Kahigi na Slaa mwenyewe hawamtaki. Kuna ukabila pia Chadema? WM
 
Naona unatamani kweli huyo mwizi wa mali za umma aje CDM.Naona Makomeo anamnong'oneza Mullu kama ahamie wiki ijayo pale white house.
18.jpg

Hussein Bashe na RA wa Lowassa mmewakosa mmbakia midomo wazi kumsubiri Lowassa
chezea CHAMA kubwa
hasira hazisaidii utakufa na kijeba wakati CCM inawabeba na wale walikumbwa na mafuriko ya safari ya matumaini
 
Siujui kama unJielewa au umemua tu kufungua mdomo lililokutoka limekutoka basi utadhani uko chooni.

Rafiki huyo Lohassa hakuna mtu amtakaye kwa taarifa yako.Wote hao waliosimama hapo ni wachumia tumbo tu.

Huyo mama alipewa dhamana kubwa ya kututengenezea Katiba alishindwa hata kufungua mdomo kukemea mTusi yaliyokuwa yanarindima mle mjengoni leo mnamuona wa kuweza kutuongozea TAIFA!Aliyeshindwa kuwaongoz watu wazima 600,leo unampa nchi ya watu 48mil.

Huyo mzee wa kuropoka anayejua kukariri namba tu,aliyeshindwa kuondoa rushwa na ufisadi mkubwa uliofanywa kwenye wizara yake,kauz nyumba za serikali haitoshi kagawa nyingine kwa nyumba ndogo leo tunamuweka awe Rais wa Nchi.

Mtasema amesimamia barabara hizi zilizo chini ya kiwango cha kuitwa barabara mvua moja tu hatuna barabara.

Rafiki nend Songea iangalie barabara iliyojengwa ba Howard Humphreys nyakati za JKN halafu urudi kuangalia hizi zilizojengwa na Makomeo ndiyo utajua mtu anapoongele barabara anamaanisha nini!!!!

Mwenzio niko Upinzani ninavalue mchango wao sana lakini sijaach kuwaambia ukweli,kwangu daim mpaka nitakPo aga duni leo au nikiwa kijeb kama ulivyosema kwani kufik huko kwa hitaji Neema na barakaza Mungu nitKuwa Tif kwanza Chama baadaye.

Nakutakia kazi njema.
 
mmeongea mengi sana maneno matupu hayavunji mfupa, huyo ni mgombea wao leteni mgombea wenu. UKAWA wamefanya kosa kubwa sana kutokumtaja mgombea wao mpaka sasa na kuwapa CCM nafasi kubwa ya kumtambulisha na kufanya kampeni kabla ya wakati, ni maoni yangu kwamba kwa nafasi hii UKAWA wasubiri 2020
 
Niliyemuandikia atajua mwenyewe.Wakati ni DAWA
 
Nimepokea taarifa kwa masikitiko makubwa sana juu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN AIKAEL MBOWE kuuza chama kwa shilingi bilioni 10 kwa fisadi Lowasa ambaye kwa mara kadhaa ametajwa kuhusika kwenye kashfa nyingi za ufisadi hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Edward Lowasa amempa Freeman Mbowe in personal shilingi Bilioni 10 kama hongo ili aweze kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA.

Hakika hizi ni taarifa mbaya sana kwa wapenda demokrasia nchini na kwamba vita dhidi ya ufisadi sasa inakuwa ngumu. Hii ni kwa sababu hawa wapinzani ambao ndio tuliwategemea kuiamsha serikali dhidi ya mapambano ya rushwa ndo wameingia kwenye mkumbo wa kutoa na kupokea rushwa. Hii ni fedheha kubwa sana kwao na ni aibu kwa siasa za Tanzania. Mbowe kanajisi upinzani na amedhalilisha sana siasa za nchi yetu.

Kwa Lowasa kuhamia upinzani si tatizo. Ila tatizo ninaloliona hapa ni hili la kutoa shilingi bilioni 10 ili tu ateuliwe kuwa mgombea urais. Kama kiongozi wa chama anaweza kununuliwa kwa shilingi bilioni 10, vipi kuhusu rasilimali za nchi yetu? Tutamtofautishaje na wale machifu ambao walikubali kuwekeana mikataba na wakoloni kwa kupewa tu bunduki, vioo na vipande vya nguo huku wao wakitoa vipande vya dhahabu? Hakika inaniuma sana na inasikitisha sana.

Ni dhahiri sasa hatuna upinzani wa kweli nchini bali tuna wachumia tumbo. Freeman Mbiwe pupa na tamaa ya fedha inamfanya asione azma aliyonayo juu ya maelfu ya wafuasi wake ambao walimuona kama ni kiongozi jasiri na mchukia rushwa. Sasa katumbukia kwenye shimo. Nani atamnasua? Tafskari na chukua hatua.
 
Back
Top Bottom