Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Hakuna siku ambayo itanifanya niichukie chadema nikiwa miongoni mwa wanachadema wazalendo kama Siku nitakayosikia Kuwa bwana Lowassa ni mwanachama mwandamizi wa chama chetu kinachojipambanua kwa kupinga ufisadi kama chama kitampokea lowassa Mimi lasmi nitaachana na siasa kwa sababu chama kitakuwa kimekiuka itikadi na falsafa yake na hilo ndilo litakuwa kaburi la chadema, tutafakari pamoja swala hili wana jukwaa.
Wewe ukihama pekee,kuna wanaoingia ndani ya chama 1000 kila siku,