Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
WW NDO UTOKE MI PIA NAJIUNGA NA CCM CHADEMA HII ILIPONGA RICHMOND ASILMIA 220 LEO WAMPOKEE LOWASA ASIMAME KUTAFUTA URAISI SAAA NITAAMINI HAWA WOOOTE WANAganga njaa hahuna mzalendo wala nn
Ikitokea akakaribishwa UKAWA,basi wanasiasa wa upinzani watakuwa wamechemka!haiwezekani mtu waliempigia kelele kiwa ni mwizi,leo hii waungane nae!imani ya upinzani itapotea!
unaposema mbowe asiwaharibie chama inamaana gani???
hcho n chama chake, acha afanye apendavyo.
kama kamati kuu imerdhia maamuzi ya mbowe ni nan awezae kumtetemesha
na kama cc haijaridhia basi mbowe atimuliwe.
Nina maono ya kuona mbali kuwa kama Lowassa, atajiunga na upinzani basi mwisho wa upinzani utakuwa umefika .
Kwani CHADEMA watashindwa kwa kishindo alafu pia CCM watamvua nguo Lowassa kuwa ni fisadi na ndiyo sababu ya yeye kukatwa.
Nasikitika sana upinzani watakuwa wanajiua wenyewe.
Nina maono ya kuona mbali kuwa kama Lowassa, atajiunga na upinzani basi mwisho wa upinzani utakuwa umefika .
Kwani CHADEMA watashindwa kwa kishindo alafu pia CCM watamvua nguo Lowassa kuwa ni fisadi na ndiyo sababu ya yeye kukatwa.
Nasikitika sana upinzani watakuwa wanajiua wenyewe.
Ubaguzi huu utaisha lini? Lowassa ni nyani?
mwenyekiti wa chadema taifa mh. Freemam mbowe amemkaribisha lowassa kujiunga na chadema hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania daima, mwananchi
Watu wanabadilika sana, watu walisema Chadema wakimuondoa Zitto ndio mwisho wao, lakini chama kimeendelea kushamiri kuliko wakati mwingine ule wa history yake. Muache aje tukishindwana ataondoka. Mbona yule mwingine kahamia TADEA? Sioni tatizo, aje ila asije na uchafu wake. Tunaongozwa na Katiba sio fikra za mwenyekiti..
Mkuu hahakuna aliembagua, ni swali tu tunauliza na sisi, Je Lowassa ni msafi akija CDM ila akiwa CCM ni mchafu? Jibu unalo. CDM wameamua kujikaanga kwa mafuta yao..... na kula matapishi yao. Nimeamini Mbowe ni kichwa cha panzi!
je lowasa na slaa watakaa meza moja?
Kuna watu hawalioni hilo.
Ingekuwa cha kwake angekiacha nyumbani kwake kiwe na familia yake.Kimejengwa kwenye jamii si chake tena ni chetu,hawezi kutusikia watanzania na akaamua bora Lowassa kuliko watanzania wa kawaida basi ajue CDM byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwenye uso wa dunia
Mbona CCM mnalialia sana? hamtaki Lowassa aende Chadema wakati huo huo huko kwenu mmekata jina lake kwa hila hivi mnataka aende wapi? Hebu acheni upuuzi mwacheni achague mwenyewe.
Na kama ndiyo hivyo sina sababu ya kujiandikisha kupiga kura!Ili iweje?Nampigia kura fisadi,mwizi wa mali za umma,mla rushwa asiye na haya mpaka kutaka kununua urais
Kweli wakimuingiza CDM waisubirie kadi yangu huko huko ufipa.
..Mimi nasema Watanzania Wakichagua CCM Mwaka huu Nashauri Tutafute Consultanct wa Kupima UWEZO wa Kufikiri wa Watanzania..."Felix Mkosamali Mbunge wa Muhambwe