Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Siku zote nayakubali maamuzi na busara za mzee Slaa..
Kauli mbiu ya chama nivita dhidi ya ufisadi..
 
Mchukuweni tu edo, sijona jipya la kubadilisha sisiem
 

tunaihitaji mabadiliko yakimfumo.... lowasa ana nyota Kali sana, mbali ya nyota hakuna alie kuja na ushahidi unaomuhusisha Lowasa moja kwa moja na ufisadi...angalau angeburuzwa court ningeamini...
 
Hili ni jukwaa la Great thinkers na sio jukwaa la TETESI!!
 
Watanzania wako very desperate, kwa hakika hawajui ni nini hasa wakitakacho and they can fall for anything. Kwa haya ni bora tu "kitengo" wawachagulie rais!!!!!

Wa Tanzania wanapenda Juisi za Asili(Locally produced) ila wanachukia sana miti ya Matunda na Matunda yake.
 
Mimi siyo mfuasi ni muumini,kuna tofauti kati ya mfuasi na muumini

Sawa sawa muumini wa maamuzi magumu kiloriti dawa chungu sana kwa wale wanaotoka kaskazini wanaijua!
 
Last edited by a moderator:
Kweli CDM mume bugi step kabisa kwa hili. Kamwe hamtaaminika tena kwa wananchi

Daaa nakusikitikia sana ndege iko angani wewe unasema nini?angalia ya UKAWA hata ratibanyake ya kuondoka haijulikani hadi imetekwa na wahamiaji haramu teh teh teh
 
Mandokwa I will support Dr.Slaa.Sitakubaliana na upuuzi kama huo.Na CDM inajitafutia kifo cha ghafla.Mawili either ifutike kwa kumkaribisha Lowassa au Ibaki kwa kumkataa Lowassa.

Na hapo maccm lazima washeherekee kifo rasmi cha CDM.

Nitamshangaa Dr.Slaa akiendelea kukaa CDM,siyo tu ni kumdhalilisha bali watakuwa wametudhalilish watanzania tuliokuwa tunaiona CDM kama mkombozi wa Taifa.Hatuwezi kusema tunapiga vita vya rushwa na.ufisadi halafu tunamkatibisha fisadi.

Nitamshangaa Tundu Lissu aliyepiga vita vya rushwa leo akae meza moja na aliyewadhulumu watanzania maskini haki zao za msingi kwa kujilimbikizia mali yeye na familia yake.

Nitamshangaa Mbowe kwa kudhani watanzania ni wapumbavu.

Waamue CDM ifutike wabaki na Lowassa au wabaki na watanzania wa kawaida pamoja na Chama.
 

CDM inaweza kugeuka chama cha mafisadi ghafla!

Huu ujinga sasa!

Akikatwa!Na kupachikwa fisadi lowasa,ntarudisha kadi ya chadema asubuhi saa 1.na ntaacha kufuatilia siasa za bongo!

Akiondoka nami nitamfuata aendapo

tetesi wapi ameambiwa na mtei kama hataki aondoke ,
wewe unaweza kubisha kwenye saccoss ya mtu na mkwe wake ,masikini SLAA amekaa kimia ,unacheza na njaa ni mbaya?



Thread nyingi wote nyie huwa mnachangia kama wana CCM lakini cha ajabu eti thread hii mnajifanya wana CHADEMA acheni unafiki nyie CHADEMA itabaki kuwa imara kama ilivyo Lowasa aingie au ata asipoingia.
 
GT.Ahsante ndugu.Rejea kauli makada mbali mbali wa CCM kuwa wataifuta CDM kwenye siasa za Tanzania. Haiwezekani Mafisadi kuwa wapole ghafla, CDM tahadhari muhimu,jamaa watakula vichwa bila huruma.
 
Slaa ndio mgombea wa ukawa jamani ila nafurahi watu wanavyoumiza kichwa juu ya ukawa inafurahisha sana ile dhana ya tunamjua haipo tena
 
Siku zote nayakubali maamuzi na busara za mzee Slaa..
Kauli mbiu ya chama nivita dhidi ya ufisadi..


busara zipi kwa unafiki wa namna hii ,anautofauti gani na kingunge,ndo maana mungu alimpiga kiboko, na mshahara wa unafiki ni jehanamu,
 
Lowassa kutambulishwa baada Ukawa kuikabidhi Chadema kusimamisha mgombea;

habari zinasema kuwa tayari Maalim Seif amebariki mchakato huo na tarehe 25 jully CUF watakubaliana CHADEMA kusimamisha mgombea.
 
naona mnajitahidi kujustfy lowasa kwenda chadema. kutoka fisadi kwenye midomo yenu hadi shujaa kwenye midomo hiyo hiyo.
Ama kweli dunia haiishiwi vituko.


Hakuna zambi isiyosameheka tumuache lowasa aje chadema

Uko sahihi mkuu....akija itamlazimu kunana na beat tu hata km hataki.

Kwanza jamaa ni mtendaji mzuri...Kuliko wanaofumbia Escrow

Mkuu upo dah kitambo sana

Lowasa atasaidia sn kuitoa ccm madalakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…