Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

CDM inaweza kugeuka chama cha mafisadi ghafla!
 
Wewe tulia msumari wa moto ukuingie masaburini, uongo na unafiki mwaka huu unawazika rasmi! Nyekundu imekua nyeusi kwa lazima!Bundi la hela limetua UKAWA kwishaaaaaaa!

Umekuwa na tabia za umbeya umbeya kama mama yako na yule mdogo wako wa kike
 
Akikatwa!Na kupachikwa fisadi lowasa,ntarudisha kadi ya chadema asubuhi saa 1.na ntaacha kufuatilia siasa za bongo!
 
Jaman Hebu tusaidiane kuelimisha watu! Kuwa na wabunge wengi inasadia 50% 50 kuondoa ubwenyenye wa CCM. Hebu fikiri changamoto zinazotoelewa na upinzani au hebu vuta picha wakati wabunge wakiingana kusemea hoja fulani Serikali inavyo haha! Je tukipata hiyo 50%50 si nchi yetu itasonga mbele! Tuache ushabiki wajamen!
 

wewe unamtisha nani wenye saccoss wameamua wewe unapiga kelele, unajua huu mpago ulianzia wapi? na ni kwa lengo gani kwao? kaa na smart phone yako nunua maji ya baridi unywe,
 
Magufuli go go go hawa UKAWA wameshatafunwa kitambo!View attachment 270000
Hahaha imekaa poa, mambo 3 kuhusu lowassa 1. cdm wamechukulia uwepo wa makundi makubwa ya lowassa kama kigezo cha wao kupata mteremko ktk uchaguzi, 2. cdm wanajua hawana mgombea wa kumnusa magufuli hivyo wanahisi wakimpata lowassa kutakuwa na jina na hamasa kubwa kwao 3. jamaa wamechukulia ukanda kwakuwa ni mtu wa kwao huko basi wanataka kuimarisha ukanda wao
 
​Leo kwa mara ya kwanza nalazimika kusali na kuomba maana... pesa ni mkono wa dhambi
 
Kweli CDM mume bugi step kabisa kwa hili. Kamwe hamtaaminika tena kwa wananchi
 
Kumbe sikujua kuna wavuta unga humu ndani! Haiyumkiniki jukwaa kama hili mtu anatoa hoja anaambulia katukanwa tena matusi ambao hususan ni vibaka na walevi undio wanao weza kuyaongea, na sio grest thinkers mnashusha hadhi ya hii kama tulivyoshuhudia kutoka kwa aka jay one!
 
Acha umbea ww... umetoka kupigwa miti sasa hv nn... maana una harufu ya kondomu

Moderator mnaupendeleo wa hali ya juu! Sisi wengine tukija na mihemko kama hii mnatupiga ban au warning lakini huyu anaendelea kupeta bila bughudha!?
 
Huwezi kusamehewa dhambi kabla ya kukiri kuitenda!Au kuja tu Chadema ndo kukiri kuitenda basi apewe msamaha? Lowasa si Lowassa bila ya kina Rostam, Chenge, Karamagi, Tibaijuka je Msamaha huo usiotegemea Toba utakuwa kwa Lowassa tu au Kikosi kizima cha "kuchukia Maskini? "
 
Chadema ni kama kanisa wenye dhambi huenda kutubu na kuzaliwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…