mwenyekiti wa chadema taifa mh. Freemam mbowe amemkaribisha lowassa kujiunga na chadema hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania daima, mwananchi
Wangu nilimwomba na majibu akawa kama nilivyoomba jina la fisadi likakatwa, mabadiliko hayawezi kuletwa na fisadi lowassa na team yake ya akina Rostam, mengi, karamagi, chenge, Tibaijuka. Mabadiliko ya kweli yataletwa na kizazi cha viongozi wasiokula rushwa na wasio na tamaa ya madaraka. Naomba uendelee kuomba mabadaliko ili tupate viongozi wasio na uchu wa madaraka kama lowassa.
MUNGU ACHA AITWE MUNGU NA HAKUNA MWANADAMU WA KUBADILISHA ALICHOKIPANGA MUNGU,
WALIOKUWA WANAJIITA WASEMA KWELI NA WAZAREDO LEO NIMESOMA MAGAZETI WAMEANZA KULA MATAPISHI YAO YA MWEMBEYANGA,TUNAENDELEA KUOMBA BILA KUCHOKA ADI MOSHI MWEUPE UONEKANE,
hakuna mtu yeyote anayeona kuna sababu ya kutafuta haki sehemu anayoona inaafaa alafu aache. Hata mwenye dhambi ipi akitubu na kunia kutenda mema atasamehewa tu . Tulizeni akili zenu na mioyo yenu mutaona kuna mila sababu ya kumkaribisha ndugu yetu lowasa. Hakuna asiyesamehewa mbele ya mungu .
sio kila kitu kinachosemwa jukwaani kina ukweli vingine ni kwa ajili ya kupumbaza watu ss km uyo lowasa km ni kweli fisadi mbona ajapelekwa mahakamani km kinamramba
Duuh......hii taarifa ina ukweli?
mungu ajawai kukosea ndomaana karuhusu kukosa na kutubu kuwai na kucherewa .nawashangaa hawa wasio jua haya.magamba mnakura maharage yawapi?mziki ukiwa mgumu kaleni limau za kiangazi. Mmechoka nanyakati nawakati na majira vinawapiga chenga.tuachieni inchi tufanyekazi.amina
unaweza kunijibu hili?kwanini alikuwa analipa watu pssa kwa ajili ya kumchagua?rafiki huyo tuliyenaye alipita njia hizo hizo alizokua anapita rafikiye!ila tatizo ni kuwa rafikiye amempenda mwingine achukue mikoba yake!
Lakini njia alizopita ndizo alizopita ndizo hizo hizo za.kulipa na kutoa rushwa ili apate uongozi.tofauti hawana.ila mimi na wewe tujiulize atarejeshaje pesa alizokopa kwa ajili ya kusaka urais?
Uzuri ananua njia aliyotumia kutaka kuteuliwa ziyo sahihi.asi getoa pesa nina uhakika asingekuwa na sababu ya kuukosa.
Leo tunalia mikopo imezidi imefika mahali hayujui kama italipika.cha maana bakuna bali safari za kila siku,mikopo hii haijalipa mikopo iliyochukuliwa wakati wa kusaka uongozi?
Sina ubaya a lowassa wala kwa yeye kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa,lakini sitakuwa na amani kwa chama chochote cha siasa kikimsimamisha kugombea urais.
Sina uhakika hata ubunge kama itawapa chama hicho.kwangu taifa langu ni bora kuliko chama.chama chweza kufa lakini si taifa langu.
Huu ndiyo msimamo wangu.
anakula matapishi!!? Tusiwaamini wanasiasa.
naomba niweke kumbukumbu sahihi waandishi na watumiaji na wanachama wa jf, ukweli ndio huweka taifa imara na lenye maadili,huwezi kuandika kitu hivihivi tu
tuweni tomasso ili tumsikie mbowe mwenyewe mengine haya maigizo tu
au kama tumaini makene angetamka mwenyewe,tungeamini
Yoyote ambaye anaweza kuondoa hili neno ccm ndio chama tawala basi tunamkaribisha ukawa. Hata kama ni jini.