Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Humu wengi ni ccm wana comment kujifanya wao ni chadema hawamtaki lowassa duu kumbe wanaongea ili kuwaamsha watu wawaunge mkono ktk kumpinga aisee

Haswaa,ukiangalia IDz nyingi ni mupya..wanamuogopa balaa
 
Mie sioni haja ya kuwa na hasira. Ooh! Ntarudisha kadi kwa manufaa ya nani sasa? Hivi hayo mnayowaza mnadhani wao hawajalitazama hilo??!! Wapeni nafasi ya kujieleza kwann wanampokea Lowassa !!!
 
Na sio vyama kwa nyie mnaejali kweli Chama chenu kwa kutishiana kutoka. Na kila kura ya mtu hata kama ni mmoja ina umuhimu kwenye uchaguzi wowote.
 
Ha ha ha hatimaye vita kuu mbinguni imeisha!!!CHADEMA RASMI KAMBI YA MAFISADI WALIOTEMWA CCM,
 
Wajaribu kuweka kama kweli ni chaguo la wananchi. Na anaweza kuleta kizaa zaa kama cha Mrema Labda
 
 
Sijawahi kuona imani kubwa kama hii katika Tanzania yote.

Tingatinga lililotumika kujenga barabara ndilo litakalotumika kubomoa barabara .Hakuna namna nyingine.

Ila kuna watu wa ajabu....hivi anayesemekana ni raisi mtarajiwa a.k.a yake tingatinga....???noma sana kwa kweli
 
Sijui Mr President yuko wapi siku hizi?naona amepotea tangu kipenzi chake Laigwanan akatwe na CC ya CCM.
 
By EasyFit:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael
Mbowe amemkaribisha rasmi Edward
Lowassa kwenye chama hicho.
Amesema CHADEMA ni chama cha
watanzania wote, ameongeza kusema
kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha
UKAWA ndiye atakayekuwa rais.
Chanzo: Habari Magazetini.
Yes yes! We must "bury the axe into the head of a common enemy".
 
Nakaribisha ujio wa Lowassa ukawa/chadema Lakini asiwe mgombea urais. Lowassa akipitishwa kugombea urais ukawa nitapiga Kura yangu ya kumchagua Rais CCM.

Mnyika atapata Kura yangu kwa utendaji wake na si tena kwa mapenzi ya chama

Kwani wapi mbowe kasema lowassa atakua mgombea wa ukawa?
 
Hapo ccm wanamtafuta mtu wao muhimu wa kulinda mali na maslahi ya wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…